A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

😃😃 eti alipo pachagua mungu... hichondio ambacho walichokifanya watu wa middle east wame wa_brainwash ili muweze kuamini kuwa matambiko yao ni chaguo sahihi la mungu na yakwetu hayafai ili iwe rahisi kwa wao kuweza kuwatawala nakatika hilo wamefanikiwa
Kama ni kufanya tuu ,mbona na sisi si tungelifanya kama walivyofanya wao kule Macca na Jerusalem? Halafu tukawaalika watu waje?
Mbona hatujafanya hivyo?
Tazama
Kule pemmba kuna mahala panaitwa Giningi, siku hizi wazungu wanaosomea uchawi huwa wanakuja kule kujifunza mambo na kuendeleza kwao hizi fani za kichawi.
Pia huenda kule Manga pwani na Nungwi maeneo ambayo kuna vilinge vya shughuli hizo,lakini ki ukweli Hao wazungu watafika na kuchukua elimu hio na kuenda nazo kwao kuzitumia kwa manufaa na sisi tutabaki kutowana vikowa tuu huku kwetu.
Hapo ndipo ninapo palenga. na kwa maana hiyo hauna maana uchawi wetu kwa jamii ,bali ni hasara tupu.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Kwanini wazungu/waarabu waliweza kuwa wa kwanza kuwaza kuja kuwazoa babu zetu na kuwafanya bidhaa?

Waafrika tulikosa nyenzo gani za kutufanya kuwa wa kwanza kwenda Ughaibuni kisha kuwazoa wazungu kuja kufanya kazi za kitumwa katika mashamba yatu?

Je, hii inadhihirisha ya kuwa wazungu/waarabu wana kitu cha ziada kwenye akili/bongo zao (highly intelligent) tangia zama za kale mpaka wakawaza kuja Afrika kwa mara ya kwanza?

Je, kuna umuhimu wowote wa watu wa bara la Afrika kuendelea kulialia na kulalamikia biashara ya utumwa kama ni janga lililowarudisha nyuma kimaendeleo mpaka sasa?

NINAOMBA KUWASILISHA MADA HII FIKIRISHI. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU

Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums

KUMBUKA: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
Aisee inasikitisha sana kuona baadhi ya watanzania kutoa history mbaya namna hiyo. Hiyo ndiyo history mliyo pewa shuleni kwenu?

Kwa hali hii ningemwomba Rais Magufuli astopishe kugharamia elimu bure ya msingi na sekondari. Yaani inamaanisha kuwa kitu ambacho Rais Magufuli anakitolea pesa nyingi za walipa kodi ndiyo hiki?

Professor Kabudi wewe umesoma history vizuri naomba tusaidie sisi ili nasi tuielewe history vizuri kama wewe. Mambo gani haya hawa vijana wa leo wanayaandika mitandaoni? Ndiyo elimu mnayo wadanganya vizazi vyetu?

Dammit! Mkuu umepotea sana. Nakuomba jaribu kujiongeza mwenyewe kidogo. Soma Quran au Biblia itakusaidia kujua lini mzungu alikutana na mwafrika. Ikishindikana basi Google wikipedia nina uhakika utapata kitu kidogo cha kukupanua mawazo. Aisee, umepotea sana. Tena mno.

Tuanze na Misri, Misri iko Afrika. Yale ma Pyramids ya Gizeh yalijengwa mnamo miaka 2620 mpaka 2500 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo wa Nazareth. Hiyo peke yake ni uthibitisho tosha tukiongelea maswala ya tekinolojia.

Waafrika walikuwa tayari wanauwezo wa kujenga structures kubwa kama hizo na kutransport material na watu kutoka sehemu moja na kwenda sehemu nyingine kwa maboti hata kabla mzungu hajaanza kutambaa.

Kitu kingine cha kuzingatia ni kuwa Alexander the Great (mmasedonia) aliyekuwa mfalme wa Masedonia aliwatawala wagiriki kwenye miaka ya 356 mpaka 336 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo. Alipigana vita na mfalme wa Persia Darius III ambaye aliwa conquer wagiriki miaka 330 hivi kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo.

Mfalme Alexander wakati anafight na Darius wa Iran, wakati huo Persia, aliusujudu mji wa Alexandria na kuupa jita lake ambalo ndilo linatumika mpaka sasa. Kumbuka kuwa Alexander ni mzungu kutoka Masedonia na Alexandria ni mji ambao uko Egypt Afrika. Kwa hiyo ieleweke kuwa waafrika tayari walikuwa wamesha kutana na wazungu.

Kiteknolojia sisi tulikuwa mbali sana ila kuvamiwa na wageni kama wa persia wagiriki na baadae warumi mambo yote yakaharibika. Hasa hasa Alexander mtawala wa wagiriki, yeye ndiye aliyeiharibu historia ya waafrika na ku introduce ya kwao.

Mkutano wa wazungu na wa Afrika wa karne ya 15 unao umaanisha wewe ni ule ulio sababishwa na Vasco da Gama (mreno) hiyo ilikuwa baadae sana, baada ya wazungu kuelimishwa na waarabu.

Ikumbukwe kuwa Alexander ndiye aliyechukua elimu na maarifa yote ya wa Agypt kwa mfano: matibabu, mahesabu na maandishi na kadhalika kupeleka kwao ugiriki naye Saladin Sultan wa kwanza wa Misri aliwaongoza waislam na waarabu mpaka kufika Spain ambako alianzisha maktaba kubwa mbili moja ilikuwa Iraq na nyingine Spain kwa principle ya wagiriki ambao nao waliitoa Alexandria Misri.

Kwenye vitabu vya historia vinaonyesha kuwa Saladin hakuwa mwarabu bali ni mzungu aliyezaliwa Armenia. Wakati wa utawala wake wazungu kutoka Ulaya walikwenda kusoma Iraq na Spain kwenye maktaba na vyuo vikuu alivyo vianzisha. Lugha walio itumia ni latini na kiarab.

Na kabla ya hapo kulikuwa na mawasiliano kati ya persia na Afrika hasa Kilwa. Kwenye Quran na Biblia Kilwa inaonekana kuwa kulikuwa na soko kubwa sana la mali ghafi na bandari moja maarufu Afrika. Sina kumbu kumbu nzuri biashara gani ilikuwa inaendelea huko.

Tukizungumzia biashara ya utumwa hiyo haikuanza na wazungu kuwapeleka waafrika Amerika, watumwa walikuwepo kabla hata ya waingereza, wahispania na wareno. Wakati wa utawala wa kirumi, Warumi waliwachukua wagiriki na mataifa mengine ya kizungu kama Germania na Wakeltic kama watumwa wao baada ya kuwashinda.
Utambue kuwa empire ya warumi ilienea mpaka uingereza kupitia mto Rhein. Baadhi ya miji ya kijerumani kama Cologne, Mainz, Xanten na kadhalika ilianzishwa na warumi.

Kwa hiyo nakusihi mkuu jiongeze kidogo kama una interest ya kujua historia ya ulimwengu. Usipende kutoa mambo ambayo hujayaangalia kimakini. Utaumbuka baadae.
Soma vitabu mbali mbali na jielimishe zaidi kupitia internet. Kuna ducumentary films nyingi sana ambazo zina weza zikakusaidia kupanua wigo wako badala ya kulemaa na vitabu vya mashuleni ambavyo navyo vimeandikwa na watu ambao kazi yao ni kufanya copy and paste kama Rais Magufuli anavyo sema.

Mimi mwenyewe nina Masters degree ya Mechanical and process Engineering na Profession yangu ni Design Engineer. Hata hivyo nina interest kubwa sana ya history ambayo ina nifanya nisome some vitabu vya aina mbali mbali kuhusu historia ya ulimwengu hasa inayo husiana ma dini ya kikristo.

Imenisaidia kujua mambo mengi ya ulimwengu na kuniongeza kwenye utaalam wangu wa kisanyansi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kati ya waafrika wapumbavu ni wewe, mda hii unaingiza mambo ya kijinga. na nyie ndo mnafanya waafrika tufeli kila siku, usenge tu... Mods nipigeni ban nipo tayari
Utumwa unaanzia kwenye FIKRA.

Kama una raisi anayehisi kila kitu anahujumiwa anaweza kusafiri kweli? kila kitu yeye ni kulaumu mabeberu, hata ndege akipanda kama haijatengenezwa Tanzania si ataogopa?

Ili kumfanya mtu mtumwa wako, kama UVCCM, wanavyofanyiwa na kuwa watu wa kusifia tu hata mtu akijamba, lazma umfanye awe rafiki yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali hii ningemwomba Rais Magufuli astopishe kugharamia elimu bure ya msingi na sekondari. Yaani inamaanisha kuwa kitu ambacho Rais Magufuli anakitolea pesa nyingi za walipa kodi ndiyo hiki?
This is utterly ridiculous and nonsense. Hakuna binadamu aliyezaliwa akawa anajua kila kitu. Sisi sote hujifunza kupitia Conversations and discussions
 
Tuanze na Misri, Misri iko Afrika. Yale ma Pyramids ya Gizeh yalijengwa mnamo miaka 2620 mpaka 2500 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo wa Nazareth. Hiyo peke yake ni uthibitisho tosha tukiongelea maswala ya tekinolojia.
Mkuu, hivi unajua ukiwa unaongelea Afrika ni kusini mwa jangwa la sahara? Afrika ya waarabu ile achana nayo wale sio level hii
 
...... Tukizungumzia biashara ya utumwa hiyo haikuanza na wazungu kuwapeleka waafrika Amerika, watumwa walikuwepo kabla hata ya waingereza, wahispania na wareno. Wakati wa utawala wa kirumi, Warumi waliwachukua wagiriki na mataifa mengine ya kizungu kama Germania na Wakeltic kama watumwa wao baada ya kuwashinda.
Kwa hiyo nakusihi mkuu jiongeze kidogo kama una interest ya kujua historia ya ulimwengu. Usipende kutoa mambo ambayo hujayaangalia kimakini. Utaumbuka baadae.
Soma vitabu mbali mbali na jielimishe zaidi kupitia internet. ...
Umeongeza mambo ya maana.
Ila tu ukitumia kipindi kile cha historia, yaani Aleksander Mkuu na Roma ya Kale:
wakati ule hapakuwa swali la Afrika au Ulaya au Asia.
"Bara" ni namna ya kisasa ya kugawa Dunia. Katika historia Bahari na mito ilikuwa muhimu zaidi, maana ziliunganisha watu, si kutenganisha.
Maana zamani ile usafiri ilikuwa asa kwa miguu, au kwa meli. Hapa utaona Bahari kama Mediteranea iliunganisha pande zake. Teknolojia ilikua kando yake na kuhamishwa pande zote, hivyo kujenga maendeleo na kukuza elimu.
Mbali na bahari watu walikuwa washenzi tu, kama unaangalia ndani ya Afrika au ndani ya Ulaya.

Kama Wamsri walijenga piramidi, watu wa maene kama Chad au Uganda hawakuendelea juu ya kujenga vibanda... Vivyo hivyo Waroma na Wagiriki walijifunza haraka kutoka Misri, lakini watu pale Uingereza na Ujerumani au Sweden walikuwa nyuma.

Unaweza kuona yaleyale katika pwani za bahari hindi - ustaarabu na utamaduni kote kwenye pwani, watu wa pwani walikuwa na mambo mengi ya pamoja kuliko wenzao barani, kama ni Afrika Mashariki, Uhindi Magharini, Asia au Uajemi Kusini.
 
Asante sana nimekupata vizuri sana mkuu. Ni kweli uliyo yasema hata mimi naafiki 100%. Napenda ku deal na watu intellingent kama wewe. Safi sana. Umenifungua macho. Ni kweli wakati ule watu walioishi kando kando ya mediterranean Sea hawaku iregard Misri au hasa mji wa Alexandria kama ni nchi au mji ambao uko Afrika. Waliiangalia zaidi bahari kuliko mipaka ambayo tumewekewa na ma monsters. It is true!

Nasema tena Asante sana kwa kunielimisha. Mungu akubariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Marahaba kitukuu changu, je hujambo??.

Kuhusu swali lako, majibu ni haya;-

Watu weusi ni binadamu na binadamu hawezi kufanya maovu, kumfanya mtu mwenzako mtumwa huo ni uovu, kumtawala mwenzako huo ni uovu, kumtesa, kumuibia, kumuua mtu huo ni uovu nk.

Basi kitukuu, Tushukuru kwamba sisi watu weusi ni binadamu na hao weupe hadi leo bado ni watu wasio na ubinadamu, je hujasikia kwamba wanafanya juu chini kurudi tena Africa kwa njia ya kuua Waafrika (depopulation of Africa) kupitia chanjo zenye sumu zinazoua taratibu, sumu zinazoua vizazi nk??,

Hao ni watu weupe wengi wao ni mashetani.
 
Back
Top Bottom