A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

Bila kuathiri majibu ya watu wengine, sababu ya ziada ninayofikiri ni kwamba inawezekana Wazungu walikuwa na shida nyingi kuliko Waafrika. Kabla hawajagundua teknolojia watu wao wengi walikufa kutokana na mazingira magumu ya kuishi, ikiwa ni pamoja na baridi kali, njaa, magonjwa nakadhalika -- yaliyotokana na jiografia ya nchi zao. Ilibidi watumie akili za ziada kuishi. Wakajikuta wanatoka 'nje ya box' hadi kufika kwetu. Kwa upande wetu huku Africa, Mungu alitupendelea sana kwa raslimali nyingi, hali ya hewa nzuri n.k. ikawa huhitaji kutumia akili nyingi sana 'kusavaivu' Afrika. Tukabweteka. Bahati mbaya sana tunaendelea kubweteka hadi leo.
This isn't the fact

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Shida historia ya shule ndo tumekariri ndomana majibu meng ya watu yanatokana na historia ya shule me niwapambanue try to read a book utafanikiea kujua ukweli.
Waafrika nd wa kwanza kufanikiwa kuliko wazungu na ushaid ulikuw misri kipind hko kaika ekalu za waafrica kuligunduliwa technolojia mbalimbali na kulihifadhia material ya kujifunza kizaz chetu lkn mzungu alikuwa anafikiria kuiba ujuz wetu na kutaka kutawala na sisi fikra zetu zilikuw ni kugundua na kutusaidia mfano mzungu angewezaje kugundua silaha ikiwa sisi nd tulikugundua technolojia ya chuma angewezaje kupika ikiwa ss nd wakwanza kugundua moto
 
Kama ujui sasa watu weusi wa afrika kutoka west afrika walienda visiwa vya Carribiani na USA (new World)kabl ya hata uyo Christopher Columbas ila ukweli wazungu wanauficha evidence na kila kitu mbona kipo,queen Sheba kutoka Ethiopia alifika Israel na crew yake na kubeba mimba ya King solomon mda mrefu mno alitokea Ethiopia ila wazungu awalijui .Wafrika tulikuwa wastarabu hatuna uchu na wala roho mbaya ya madaraka kutawala tawala watu nq kwa taarifa yako sasa utumwa ulikuwa una fanikiwa kutoksna na machifu walikuwa ni mabogaz walirubuniwa na vitu vidogo kama vioo shanga na nguo...
 
Hakika unaifahamu sana historia ya bara letu hili la Afrika. Tupo pamoja sana ndugu.
 
Huenda upeo wa kufikiria kwa mwafrika upo chini. Hata wale waliobahatika kuwa na upeo hawakuwashirikisha wengine. Wazungu wana upeo wa kugundua kipaji cha mtu na wanakikuza, waafrika wanakiharibu kwa wivu (uchawi). Angalia tulivyopokea dini zao bila hata kuhoji!. We acha tu! Funga macho usali na ukakubali!!
 
You said it right
 
Kwasababu africa tumeubwa na moyo wa ukalimu,utu na upendo hatuwezi mfanyia binadam mwenzetu yale tusiyopenda sisi kufanyiwa

Ukarimu upi huo unauzungumzia jombaa, kukatana mapanga huko tarime, kuauwa vibaka kisa wizi wa visendo, viberiti n.k, kuwakatili maalbino kisa utajiri, kuauwa vikongwe na kuwatoa kafara wanao ama wa jirani yako kisa utajiri, huo utu unatoka wapi muzehe.
 
Woga wetu kuwaogopa wenzetu wasitunyang'anye utawala ndiyo maana mkwawa baada ya kuwashinda Wajerumani hakutaka jeshi lake litumie zana mpya walizoteka akamwaga baruti mto ruaha na bunduki zikafungiwa stooni hadi jerumani aliporudi na kuzikuta zote zikiwa salama, ndiyo maana leo ccm wanafanya kila hila wasitoke madarakani mfano mambo ya Morogoro. Maendeleo siyo hoja kwa watawala, ndiyo maana mtu mwenye akili sana ni adui wa mtawala siku zote, walizuia ugunduzi kwa kukata mikono ya wagunduzi.
 
Back
Top Bottom