A day in the Buddhist college


nina swali hapa......
1.msalaba uliangalia chini kivip?kwamba uligeuzwa chini juu au??
2.watu hao walikua jinsia zote 2?
3.kulkua na wageni wangap labda?kwa makadirio!
 
I see we mshana jr kiboko. Haya mambo ni kweli au chai?

Nidanganye ili iweje sasa? Kwenye mada nyingi tu niliongelea kuwa niliwahi kusali kanisa la waabuduo shetani lakini sijawahi kuweka habari kamili in details kama hivi...natumia ID halisi sina sababu ya kuongopa
Na hii story kwangu sio valid tena kwakuwa haya mambo yalitokea miaka almost 18 iliyopita
 
Last edited by a moderator:

Aisee kumbe ni mda mrefu ilitokea. Hivo vichanga walikua wanafanya nini. Pia naskia ibada zao hugeuza msalaba kwanini hawaweki uangalie juu. Na je mtu akitamka jina la Yesu inakuaje?
 

km una nyuzi zingine na type huu humu JF plz nitag mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Sasa na wewe ulivyokuwa kwenye hiyo temple ulikuwa uchi wa mnyama au ulikuwa umevaa mavazi gani na ni mavazi gani mnatakiwa mvae!?
 
Mkuu nimejikuta navutiwa na uzi wako maana napenda kusoma sana hizi mambo. The word is full of secrets you can not understand them all. Learn them slowly. Hivi ndivo DAN BROWN anasema. Nimejikuta nasoma vitabu vya jamaa sana kama vile DA VINCI CODE. FORTRESS. ANGELS AND DEMONS N.K

sasa mkuu umeshaandika kitabu chochote kuhusu hili unaloliongelea?

Kama hutojali naomba uniPM plz
 

Hii ndio mara ya kwanza naandika kwa uwazi takupm usijali
 
Mimi nilikuwa mwalikwa nilikaa juu kama kwenye balcony hivi nikiangalia kwa chini kilichokua kinaendelea

dah mbn kila ukijibu napata swali la nyongeza........mkuu ulivaa mavazi gan wewe mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Tuendelee sasa....ibada ya mziki mzito ilipamba moto wale watu wakitembea kama mazombie ilikuwa inatisha sana
Kwenye kilele cha ule mziki na zile movement kama mazombie jeneza lilifunuliwa na akatoka kiongozi mkuu akiwa uchi na sime mkononi, ghafla akaletwa binti mweusi toka nyuma ya madhabahu ya kishetani na kwa pigo moja tu alitenganishwa kichwa na kiwiliwili, wale waumini walikimbilia madhabahuni na kuanza kuoga damu iliyokuwa inaruka sana...nilipoteza fahamu pale pale
Ninachotaka tu kusema hapa ni kwamba yalitokea mengi tangu muda ule nilipozirai nilipozinduka mpaka kufanikiwa kurudi chuoni alfajiri
Lakini kwa ufupi ni kwamba nilitakiwa niwe wakala wao...
Kipindi hicho south Africa watu walikuwa wanapotea sana hasa wageni , kumbe walikuwa wanarubuniwa kazi na kisha kwenda kutolewa kafara kwenye ibada za kishetani (fuatilia upoteaji wa watoto na watu wazima hapa Tanzania)
Hawa jamaa wana mtandao mkubwa walikuwa na mawakala kila mahali , death rate ya vichanga ilikuwa juu sana..kumbe mawakala wao walikuwa wanawauwa na kisha kuwapelekea (hii habari iliandikwa sana wakati ule kule na ushahidi juu)
Kwenye lile jumba kulikuwa na lita nyingi sana za damu , sijui ni ya binadamu ama la iliyohifadhiwa vizuri.ila walipendelea sana damu mbichi ya moto irukayo hii wanaamini iliwaongezea nguvu za kishetani na kutoogopa chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…