Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Samahani bana dah, nimejichanganya. Badala ya 2007 nasema 97. Sijui kwanini huwa naichanganya hii miaka miwili. Mimi ni 2007 bana. Vimalajothi sikumkuta kabisa. Nilikuta story tu.Pale alikuwepo wa kwanza aliyetupokea ni Vima/ Vimalajothi mpiga dili fulani m Sri Lanka, alivua robes 98 ndio Panyasekera akachukua uongozi
Mimi ni wa intake ya kwanza 96 ....
Hapo sahihi kabisa, yani intake yenu ni miaka kumi baadae... Aah tumbotumbo bado alikuwepo?Samahani bana dah, nimejichanganya. Badala ya 2007 nasema 97. Sijui kwanini huwa naichanganya hii miaka miwili. Mimi ni 2007 bana. Vimalajothi sikumkuta kabisa. Nilikuta story tu.
.
Tumbotumbo alikuwepo na nadhani bado yupo. Kwenye nadhiri zake Fo gwang shan, aliweka nadhiri ya kusambaza Dharmma Afrika. Na wanasema alipokuja Afrika ilikuwa awe muendeshaji mkuu wa pale.Hapo sahihi kabisa, yani intake yenu ni miaka kumi baadae... Aah tumbotumbo bado alikuwepo?
Mafunzo ya shaolin yanapatikana pia?View attachment 508357kwahiyo hatimaye Tanzania kimeweza kufunguliwa kituo kisichotoza malipo Lakini kimeanza na watoto yatima
Kwa wale wapenda meditation wanaweza kufika hapo kupata utaratibu wote
Naweza faham temple ipi inatoa haya mafunzoHapana hayo bado
Kivipi mkuuHuyu jamaa nilikua namueshimu saaana ila nimegundua ni muongo saaana....
Anabadirisha future kuwa past ...... bila kukumbuka present
Na hapa umetumia simu kuandika [emoji779]sipati picha ingekuwaje kama ungeandika na kalamu halafu kwenye plain paperHuyu jamaa nilikua namueshimu saaana ila nimegundua ni muongo saaana....
Anabadirisha future kuwa past ...... bila kukumbuka present