A day in the Buddhist college

A day in the Buddhist college

Pale alikuwepo wa kwanza aliyetupokea ni Vima/ Vimalajothi mpiga dili fulani m Sri Lanka, alivua robes 98 ndio Panyasekera akachukua uongozi
Mimi ni wa intake ya kwanza 96 ....
Samahani bana dah, nimejichanganya. Badala ya 2007 nasema 97. Sijui kwanini huwa naichanganya hii miaka miwili. Mimi ni 2007 bana. Vimalajothi sikumkuta kabisa. Nilikuta story tu.
.
 
Samahani bana dah, nimejichanganya. Badala ya 2007 nasema 97. Sijui kwanini huwa naichanganya hii miaka miwili. Mimi ni 2007 bana. Vimalajothi sikumkuta kabisa. Nilikuta story tu.
.
Hapo sahihi kabisa, yani intake yenu ni miaka kumi baadae... Aah tumbotumbo bado alikuwepo?
 
Hapo sahihi kabisa, yani intake yenu ni miaka kumi baadae... Aah tumbotumbo bado alikuwepo?
Tumbotumbo alikuwepo na nadhani bado yupo. Kwenye nadhiri zake Fo gwang shan, aliweka nadhiri ya kusambaza Dharmma Afrika. Na wanasema alipokuja Afrika ilikuwa awe muendeshaji mkuu wa pale.
 
Ina maana mkuu jet Lee na jack chan hawanidanganyag wamepikwa wakakwiza katika hayo masuala
 
Huyu jamaa nilikua namueshimu saaana ila nimegundua ni muongo saaana....

Anabadirisha future kuwa past ...... bila kukumbuka present
 
Back
Top Bottom