Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Samahani bana dah, nimejichanganya. Badala ya 2007 nasema 97. Sijui kwanini huwa naichanganya hii miaka miwili. Mimi ni 2007 bana. Vimalajothi sikumkuta kabisa. Nilikuta story tu.Pale alikuwepo wa kwanza aliyetupokea ni Vima/ Vimalajothi mpiga dili fulani m Sri Lanka, alivua robes 98 ndio Panyasekera akachukua uongozi
Mimi ni wa intake ya kwanza 96 ....
.