A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

Sikuwa na mwamko mkubwa wa kufatilia mambo ila nilikuwa mtu mzima
Basi sheria ipo tangu 2012 nadhani,kwamba mrabaha ni 16%,so mikataba ilipokwisha walitakiwa kutoa mrabaha huo,ikawa ngondo,mgodi wa kwanza kuwa impacted ni resolute nzega
 
Basi sheria ipo tangu 2012 nadhani,kwamba mrabaha ni 16%,so mikataba ilipokwisha walitakiwa kutoa mrabaha huo,ikawa ngondo,mgodi wa kwanza kuwa impacted ni resolute nzega
Ukisoma kitabu cha Golden opportunity hakuna sheria itakayo effect mradi baada ya mkataba hadi Term iishe.

Na term ni 30yrs endapo mwekezaji amesharusisha gharama zake.

Sasa hapo kwenye kurudisha gharama ndio kuna kimbembe......soma utajionea
 
Yaani Reuters ndio inaandika na sio Mwananchi, Nipashe wala Uhuru? Hata Clouds mkuu hii habari haipo wala Jamii forums?
Anyways ntafatilia.
Una uhakika mwana chi hawakuandika!?..tangu lini clouds, channel ten,it wakaandika news serious!?
 
Kungalikuwa na uchaguzi wa kweli Toka kwenye CCM yenyewe , Samia asingalikuwa Raisi, Kuhusu kuiondoa CCM madarakani kwa huku Zanzibar harakati zilianza zamani na nyinyi Watanganyika wengi mlikuwa bado wengi mumelewa Ullevi wa Nyerere
 
Alafu utasikia machawa na wezi wa taifa hili wakipiga kelele za kijinga sana mara or lissu sio mzalendo , wote wanao mnenea mabaya lissu walaniwe period
 
Alafu utasikia machawa na wezi wa taifa hili wakipiga kelele za kijinga sana mara or lissu sio mzalendo , wote wanao mnenea mabaya lissu walaniwe period
Hehehe....Lissu hawataMweza mpaka Mungu mwenyewe aamue.
 
Shida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.
 
Shida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.
Mmh....umemjua Tundu Lissu ukubwani
 
Shida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.
Leo ameshirikiana na Watu wote wenye mapenzi mema Bakwata, TEC, CCT, LHRC, UDSM, World Council for Natural Resource ambayo hata Dr Samia alishawahi kufanya kazi wakiwa na Lissu.
Ameshirikiana na wananchi wote wakazi wa migodini, bungeni na kwenye majukwaa mbali mbali.
 
Mimi hushangaa sana namna Botswana ilivyo nikilinganisha na Tanganyika , hasa uchumi wake unategemea dhahabu na almasi , Tanganyika toka wakati wa Nyerere hakuna kilichopatikana zaidi ya kuundwa CCM baada TANU na kutembeza mwenge kila mwaka
Huyo babu yenu aliiroga hii nchi. Hakuna kitu tunaweza ni matupatapu matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…