Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Nimemaliza kukisoma halafu ndo kikaaanza upyaaa😅😅Hii ni repoti ya mwaka 2008 toleo la pil
Nashkuru kilianza na 'summary' imenipa picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaliza kukisoma halafu ndo kikaaanza upyaaa😅😅Hii ni repoti ya mwaka 2008 toleo la pil
"Tanzania's TPDC doubles gas field stake in deal with Maurel & Prom | Reuters" https://www.reuters.com/world/afric...field-stake-deal-with-maurel-prom-2024-02-03/Kama ni kweli kwanini ushindi kama huu kwenye gesi umekuwa siri kiasi kwamba wanaofahamu umiliki 45%ni wewe tu na baddhi ya watu wachache?
Ipe serikali hela ilinigharamie utafiti wa nushati na madini,then iwekeze ili tumuliki 100% au tuwe na Lion shareNa Bado mikataba ya kimangungo ya utafiti wa madini
Basi sheria ipo tangu 2012 nadhani,kwamba mrabaha ni 16%,so mikataba ilipokwisha walitakiwa kutoa mrabaha huo,ikawa ngondo,mgodi wa kwanza kuwa impacted ni resolute nzegaSikuwa na mwamko mkubwa wa kufatilia mambo ila nilikuwa mtu mzima
Ukisoma kitabu cha Golden opportunity hakuna sheria itakayo effect mradi baada ya mkataba hadi Term iishe.Basi sheria ipo tangu 2012 nadhani,kwamba mrabaha ni 16%,so mikataba ilipokwisha walitakiwa kutoa mrabaha huo,ikawa ngondo,mgodi wa kwanza kuwa impacted ni resolute nzega
Yaani Reuters ndio inaandika na sio Mwananchi, Nipashe wala Uhuru? Hata Clouds mkuu hii habari haipo wala Jamii forums?"Tanzania's TPDC doubles gas field stake in deal with Maurel & Prom | Reuters" https://www.reuters.com/world/afric...field-stake-deal-with-maurel-prom-2024-02-03/
Siri au hamfuatilii mambo ya nchi yenu zaidi ya habari za kimbeambea!?
Kina page chache ila kimesheheni siri nyingi na nzito.Nimemaliza kukisoma halafu ndo kikaaanza upyaaa😅😅
Nashkuru kilianza na 'summary' imenipa picha
Una uhakika mwana chi hawakuandika!?..tangu lini clouds, channel ten,it wakaandika news serious!?Yaani Reuters ndio inaandika na sio Mwananchi, Nipashe wala Uhuru? Hata Clouds mkuu hii habari haipo wala Jamii forums?
Anyways ntafatilia.
..99% ya Waznz ni Waislamu.
..kuna watu wanatumia hali hiyo kama " kichaka " ili viongozi wa Ccm toka Znz wasikosolewe.
..Samia anayechangia wachungaji wa hovyo kama Mwamposa ndio wa kuwakausha makoo Waislamu kumtetea?
..Tujiulize Samia alikuwa wapi wakati Cuf wakipakaziwa kwamba ni chama cha kidini cha Waislamu?
Alafu utasikia machawa na wezi wa taifa hili wakipiga kelele za kijinga sana mara or lissu sio mzalendo , wote wanao mnenea mabaya lissu walaniwe periodSikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana wake woote.
Kwamba Tundu Lissu anaweza kuwa na Influence kwenye Tasisi kubwa kama baraza la Taifa la kiislam BAKWATA, Baraza la Kikristo Tanzania CCT, Tanzania Episcopal Council TEC, Legal and Human Right Centre(LHRC) na miamba wengine wa Uchumi ktk taasisi mbalimbali kama University of Dar Es Salaam.
Ushiriki wa Taasisi kubwa za namna hii katika uchambuzi, utafiti na hatimaye ku ripoti taarifa hizi za Uchimbaji wa madini ya Dhahabu Tanzania umetokana na ukweli kwamba;
1. Mwenyezi Mungu ndiye aliyeumba Tanzania na vitu vyote vilivyomo.
2. Kwamba Mungu alipomuumba Mwanadamu alitaka aishi maisha ya ukamilifu na utajiri hivyo kila alipo Mwanadamu kuna vyanzo vya uchumi vinavyomuwezesha kuishi na Kustawi.
Wame quote kitabu cha Zaburi 24: 1.
Katika Utafiti na matokeo yao waligundua mambo makuu matatu.
1. Migodi ya Dhahabu inatoa kiasi kidogo cha mapato ya Kodi
2.Usiri Mkubwa kwenye miradi ya madini na hivyo hatari ua kuwepo mazingira ya Rushwa
3.Watu na wananchi jirani katika migodi hii hawananufaiki chochote na wanazidi kuwa maskini.
Mada mahususi
1. The Tax System and its Hidden subsidies
2. Alleged Tax Evasion
3. Democracy and Transparency
4. Local economic development
Uhondo unapatikana zaidi ukiangalia jinsi walivyochambua mapato na uvunaji wa madini ya Dhahabu kutoka migodi ifuatayo
➡️AngroGold Ashanti, kampuni inayomilikiwa kwa ubia wa Ghana na South Africa hawa wanamiliki migodi ya GGM huko Geita
➡️Barrick- hii ya Wakanada wanamiliki mgodi wa Bulyankulu
➡️Australian company wanaomiliki Migodi ya Dhahabu ya North Mara under East African Gold Mines brand.
Pia wameongelea "The Buzwagi contract"
Ktk takwimu zao kwenye majedwali mbali mbali wame extraxt data na taarifa kutoka kwenye vyanzo mbali mbali ikiwemo
Tume ya Taifa ya Madini, Wizara ya Nishati na Madini, Tanzaniani Chamber of Mines, Tanzania Revenue Authority TRA.
Jambo lingine lilonishangaza ktk ripoti hii ni kuwa matatizo yanayotokana na migogoro na Machimbo ya madini ya Dhahabu yanafanana ktk Nchi nyingi za Africa, ambapo inaonekana baadhi ya viongozi ktk nchi hizo wanashirikiana na wezi wa kigeni na kudidimiza wananchi wao.
Basi mwisho wakamaliza na Recomendations zao.
Walitoa mapendekezo 7.
Ukitazama kwa umakini ni Copy and Paste ya zile za Tume ya Uchunguzi ya Prof Usoro na Prof Mruma.
Hii ni repoti ya mwaka 2008 toleo la pili.
Hehehe....Lissu hawataMweza mpaka Mungu mwenyewe aamue.Alafu utasikia machawa na wezi wa taifa hili wakipiga kelele za kijinga sana mara or lissu sio mzalendo , wote wanao mnenea mabaya lissu walaniwe period
Shida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana wake woote.
Kwamba Tundu Lissu anaweza kuwa na Influence kwenye Tasisi kubwa kama baraza la Taifa la kiislam BAKWATA, Baraza la Kikristo Tanzania CCT, Tanzania Episcopal Council TEC, Legal and Human Right Centre(LHRC) na miamba wengine wa Uchumi ktk taasisi mbalimbali kama University of Dar Es Salaam.
Ushiriki wa Taasisi kubwa za namna hii katika uchambuzi, utafiti na hatimaye ku ripoti taarifa hizi za Uchimbaji wa madini ya Dhahabu Tanzania umetokana na ukweli kwamba;
1. Mwenyezi Mungu ndiye aliyeumba Tanzania na vitu vyote vilivyomo.
2. Kwamba Mungu alipomuumba Mwanadamu alitaka aishi maisha ya ukamilifu na utajiri hivyo kila alipo Mwanadamu kuna vyanzo vya uchumi vinavyomuwezesha kuishi na Kustawi.
Wame quote kitabu cha Zaburi 24: 1.
Katika Utafiti na matokeo yao waligundua mambo makuu matatu.
1. Migodi ya Dhahabu inatoa kiasi kidogo cha mapato ya Kodi
2.Usiri Mkubwa kwenye miradi ya madini na hivyo hatari ua kuwepo mazingira ya Rushwa
3.Watu na wananchi jirani katika migodi hii hawananufaiki chochote na wanazidi kuwa maskini.
Mada mahususi
1. The Tax System and its Hidden subsidies
2. Alleged Tax Evasion
3. Democracy and Transparency
4. Local economic development
Uhondo unapatikana zaidi ukiangalia jinsi walivyochambua mapato na uvunaji wa madini ya Dhahabu kutoka migodi ifuatayo
➡️AngroGold Ashanti, kampuni inayomilikiwa kwa ubia wa Ghana na South Africa hawa wanamiliki migodi ya GGM huko Geita
➡️Barrick- hii ya Wakanada wanamiliki mgodi wa Bulyankulu
➡️Australian company wanaomiliki Migodi ya Dhahabu ya North Mara under East African Gold Mines brand.
Pia wameongelea "The Buzwagi contract"
Ktk takwimu zao kwenye majedwali mbali mbali wame extraxt data na taarifa kutoka kwenye vyanzo mbali mbali ikiwemo
Tume ya Taifa ya Madini, Wizara ya Nishati na Madini, Tanzaniani Chamber of Mines, Tanzania Revenue Authority TRA.
Jambo lingine lilonishangaza ktk ripoti hii ni kuwa matatizo yanayotokana na migogoro na Machimbo ya madini ya Dhahabu yanafanana ktk Nchi nyingi za Africa, ambapo inaonekana baadhi ya viongozi ktk nchi hizo wanashirikiana na wezi wa kigeni na kudidimiza wananchi wao.
Basi mwisho wakamaliza na Recomendations zao.
Walitoa mapendekezo 7.
Ukitazama kwa umakini ni Copy and Paste ya zile za Tume ya Uchunguzi ya Prof Usoro na Prof Mruma.
Hii ni repoti ya mwaka 2008 toleo la pili.
Mmh....umemjua Tundu Lissu ukubwaniShida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.
Leo ameshirikiana na Watu wote wenye mapenzi mema Bakwata, TEC, CCT, LHRC, UDSM, World Council for Natural Resource ambayo hata Dr Samia alishawahi kufanya kazi wakiwa na Lissu.Shida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.
i will make✖I will make time to read this
Hahahai will make✖
I will take✅
Huyo babu yenu aliiroga hii nchi. Hakuna kitu tunaweza ni matupatapu matupu.Mimi hushangaa sana namna Botswana ilivyo nikilinganisha na Tanganyika , hasa uchumi wake unategemea dhahabu na almasi , Tanganyika toka wakati wa Nyerere hakuna kilichopatikana zaidi ya kuundwa CCM baada TANU na kutembeza mwenge kila mwaka
HaaHuyo babu yenu aliiroga hii nchi. Hakuna kitu tunaweza ni matupatapu matupu.
You take if you have, you make if you are busy but you have to arrange specific time for that, acha ujuaji wa kijingai will make✖
I will take✅
Walisema pesa sitakazolipwa ni sawa na Noa moja kila mtanzania, kipi kigumu kuelewa hapo?Nani aliahidi noah kwa kila mtanzania?