Aliyoonya hayakutokea?Shida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.
Aliyoonya hayakutokea?Shida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.
You are rightYou take if you have, you make if you are busy but you have to arrange specific time for that, acha ujuaji wa kijinga
Mwamba anajaribu kujizima dataWalisema pesa sitakazolipwa ni sawa na Noa moja kila mtanzania, kipi kigumu kuelewa hapo?
Tundu ni Kama Daudi, hakuna Mfilisti atamweza.Sisi Watanganyika tunajivunia huyu Lisu ni baraka kwa taifa letu la Tanganyika Mungu azidi kumlinda dhidi yabwafilisti wanaotamani kumnyamazisha katika jitihada zake zakutetea rasilimali za Taifa letu
Mkuu kulikuwa na haja ya kutukana?Wapumbaf kama nyie mnajikuta kwenye panel ya interview na madesa mlokariri mnawakosoa wasailiwa,
Kamuulize mwalimu wako nini maana ya " i wll make time for that"
Pia sisis nimechanganya, take it easyMkuu kulikuwa na haja ya kutukana?
Sawa mkuu tuendelee na madaPia sisis nimechanganya, take it easy
Sasa hivi yupo Babu Tale ana ammend laws, anatunga na kupitia mikataba ya kisheria.Mtu makini kama huyu eti aliondolewa bungeni yakabakishwa yale mataahira
Ndio wamesaini mikataba ya madini?wanafiki wawili wameua uwekezaji sekta ya madini nchi hii- LISSU na ZITTO
Maghu Ali kuwa mwizi tu kama wengine, alitudangsnya kuhusu, makinikiaWakati tukitafakali maandiko haya tujiulize ni kwanini hakuna Rais aliyewahi kuchukua hatua za marekebisho hadi alipokuja Dr Josefu Magufuli? Na je alifikia malengo?
Kwa jinsi unavyopenda kuhojoreka humu hasa kwenye mada ngumu na makini huku ukiwashusha wenye hoja jenzi hayumkini wewe ni mbunge wa ccm uliyebebwa na magufuli na sasa ni chawa mwandamizi unayetafuta nafasi ya kurejea Tena 2025!wanafiki wawili wameua uwekezaji sekta ya madini nchi hii- LISSU na ZITTO
Comte mpaka unajiuliza huyu ni binadamu wa Tanzania? Maana ana behave kama msomaliaKwa jinsi unavyopenda kuhojoreka humu hasa kwenye mada ngumu na makini huku ukiwashusha wenye hoja jenzi hayumkini wewe ni mbunge wa ccm uliyebebwa na magufuli na sasa ni chawa mwandamizi unayetafuta nafasi ya kurejea Tena 2025!
Hao Lissu na Zito wlihusikaje na mikataba mibovu ya madini? Hebu funguka nasi tukuelewe.
Acha ujinga,kikwete alitoa asilimai 3 hadi 4,magufuri kutoka 4 hadi 16pcnt ten non dilutable wakayi za kikwete zilikiwa dilutable.Jakaya kidiplomasia alifanikiwa kuweka 16% ya mirabaha kwenye madini,magu wako hakufanikiwa chochote huko zaidi ya stunts tu,mwisho wa siku makinikia yaliondoka na hatukupata chochote
Aliyesaini mikataba ya 3% ni mkapa,so kikwete 2012 akapitisha sheria mirabaha itakua 16% mikataba iliyopo ikiisha,acha kuhara hapa na utoto wakoAcha ujinga,kikwete alitoa asilimai 3 hadi 4,magufuri kutoka 4 hadi 16pcnt ten non dilutable wakayi za kikwete zilikiwa dilutable.
"Ijue Sheria Mpya ya Madini Namba 14 ya 2010 | Policy Forum" Ijue Sheria Mpya ya Madini Namba 14 ya 2010 | Policy ForumAcha ujinga,kikwete alitoa asilimai 3 hadi 4,magufuri kutoka 4 hadi 16pcnt ten non dilutable wakayi za kikwete zilikiwa dilutable.
Huo wa mrahaba 16% ni baada ya makubaliano ya Kuanzisha Ubia kupitia Twiga companyAliyesaini mikataba ya 3% ni mkapa,so kikwete 2012 akapitisha sheria mirabaha itakua 16% mikataba iliyopo ikiisha,acha kuhara hapa na utoto wako