A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

Shida ya tundu alitaka wamwachie yeye tu kutete rasimali za nchi. Alipokuna mwingine kutetea radilimali zilezile za nchi alikasirika sana kwamba atapokwa alichoanzisha. Hivyo u inafsi ndo unamtafuna.
Aliyoonya hayakutokea?
 
Sisi Watanganyika tunajivunia huyu Lisu ni baraka kwa taifa letu la Tanganyika Mungu azidi kumlinda dhidi yabwafilisti wanaotamani kumnyamazisha katika jitihada zake zakutetea rasilimali za Taifa letu
 
Tundu ni Kama Daudi, hakuna Mfilisti atamweza.
 
Wapumbaf kama nyie mnajikuta kwenye panel ya interview na madesa mlokariri mnawakosoa wasailiwa,
Kamuulize mwalimu wako nini maana ya " i wll make time for that"
Mkuu kulikuwa na haja ya kutukana?
 
wanafiki wawili wameua uwekezaji sekta ya madini nchi hii- LISSU na ZITTO
 
Wakati tukitafakali maandiko haya tujiulize ni kwanini hakuna Rais aliyewahi kuchukua hatua za marekebisho hadi alipokuja Dr Josefu Magufuli? Na je alifikia malengo?
Maghu Ali kuwa mwizi tu kama wengine, alitudangsnya kuhusu, makinikia
 
wanafiki wawili wameua uwekezaji sekta ya madini nchi hii- LISSU na ZITTO
Kwa jinsi unavyopenda kuhojoreka humu hasa kwenye mada ngumu na makini huku ukiwashusha wenye hoja jenzi hayumkini wewe ni mbunge wa ccm uliyebebwa na magufuli na sasa ni chawa mwandamizi unayetafuta nafasi ya kurejea Tena 2025!
Hao Lissu na Zito wlihusikaje na mikataba mibovu ya madini? Hebu funguka nasi tukuelewe.
 
Comte mpaka unajiuliza huyu ni binadamu wa Tanzania? Maana ana behave kama msomalia
 
Jakaya kidiplomasia alifanikiwa kuweka 16% ya mirabaha kwenye madini,magu wako hakufanikiwa chochote huko zaidi ya stunts tu,mwisho wa siku makinikia yaliondoka na hatukupata chochote
Acha ujinga,kikwete alitoa asilimai 3 hadi 4,magufuri kutoka 4 hadi 16pcnt ten non dilutable wakayi za kikwete zilikiwa dilutable.
 
Aliyesaini mikataba ya 3% ni mkapa,so kikwete 2012 akapitisha sheria mirabaha itakua 16% mikataba iliyopo ikiisha,acha kuhara hapa na utoto wako
 
Huo wa mrahaba 16% ni baada ya makubaliano ya Kuanzisha Ubia kupitia Twiga company
 
Back
Top Bottom