Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Sidhani kama watakusikia watu wale😂😂Lisu ni mpango wa Mungu mwenyewe.Hivyo Kuna umuhimu wa kutumia vipewa adhimu kwa maendeleo ya kweli ya taifa letu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama watakusikia watu wale😂😂Lisu ni mpango wa Mungu mwenyewe.Hivyo Kuna umuhimu wa kutumia vipewa adhimu kwa maendeleo ya kweli ya taifa letu.
Ukisoma hicho kitabu utaona nani ni Kibaraka halisiWa
Wakamwita kibaraka wa mabeberu
Nilianza kumfuatilia lisu miaka ya 2000s kupitia kipindi cha jeneral on Monday chanel 10. Jamaa ana akili na ni mzalendo haswa. Mambo ya madini anayajua kweli. Ajabu walitaka kumuua?Ukisoma hicho kitabu utaona nani ni Kibaraka halisi
Nina mrank Tundu Lissu kama Mzalendo namba One Tanzania.Nilianza kumfuatilia lisu miaka ya 2000s kupitia kipindi cha jeneral on Monday chanel 10. Jamaa ana akili na ni mzalendo haswa. Mambo ya madini anayajua kweli. Ajabu walitaka kumuua?
Hakika jamaa ana ufahamu mkubwa na siyo muoga hata kidogo. Ulitegemea akae kimya baada ya yaliyomfika. Lakini Tundu Lissu bado no yule yuleNina mrank Tundu Lissu kama Mzalendo namba One Tanzania.
Wengine wanafata.
Soma pia makuadi wa soko huria. Cha chachage s chachage. Humo pia lisu utamkutaUkisoma hicho kitabu utaona nani ni Kibaraka halisi
Nani aliahidi noah kwa kila mtanzania?Aliingia kichwa kichwa, we ulisikia zile Noa za kila mtanzania zilipatikana?
Huwa naumia sana halafu unakuja kusikia mbunge mmoja anaongelea upuuzi...Mtu makini kama huyu eti aliondolewa bungeni yakabakishwa yale mataahira
HahahaNani aliahidi noah kwa kila mtanzania?
Wakati tukitafakali maandiko haya tujiulize ni kwanini hakuna Rais aliyewahi kuchukua hatua za marekebisho hadi alipokuja Dr Josefu Magufuli? Na je alifikia malengo?
Inasikitisha sanaHuwa naumia sana halafu unakuja kusikia mbunge mmoja anaongelea upuuzi...
PerfectUtafiti Tundu Lissu umetoka na ripoti ambayo anaweza kuitetea mahala popote, na ni rejea kwa watafiti na wanaharakati wa rasilimali zetu.
Unakosea.Mimi hushangaa sana namna Botswana ilivyo nikilinganisha na Tanganyika , hasa uchumi wake unategemea dhahabu na almasi , Tanganyika toka wakati wa Nyerere hakuna kilichopatikana zaidi ya kuundwa CCM baada TANU na kutembeza mwenge kila mwaka
Inapendeza sana
Unakosea.
Sio Tnaganyika ni TANZANIA
Ripoti ipi ya uongo aloitoa shujaa magufuli?..tatizo la Magufuli ni kuandaa ripoti za UONGO kuhusu rasilimali zetu.
..kama alikuwa na nia njema alipaswa kuandaa ripoti za KWELI kuhusu madai yetu, ripoti ambazo tunaweza kuzitetea popote duniani, na ni REJEA kwa wengine watakaoshughulika na madai hayo.
..Utafiti Tundu Lissu umetoka na ripoti ambayo anaweza kuitetea mahala popote, na ni rejea kwa watafiti na wanaharakati wa rasilimali zetu.
..Kwa upande mwingine hatua alizochukua Magufuli zimesababisha Tanzania ishitakiwe na kuhukumiwa kulipa faini kubwa za mabilioni ya fedha. Na sio kwamba hakuonywa kwa hayo yanaweza kutokea.