A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

rastasoldier mwamba kabisa najua kuna mkono wako hapa, vimbwetani si unakumbuka ulikuwa ukisoma makrabrasha ya kiuanaharakati.
 
Nina mrank Tundu Lissu kama Mzalendo namba One Tanzania.

Wengine wanafata.
Hakika jamaa ana ufahamu mkubwa na siyo muoga hata kidogo. Ulitegemea akae kimya baada ya yaliyomfika. Lakini Tundu Lissu bado no yule yule
 
Wakati tukitafakali maandiko haya tujiulize ni kwanini hakuna Rais aliyewahi kuchukua hatua za marekebisho hadi alipokuja Dr Josefu Magufuli? Na je alifikia malengo?

..tatizo la Magufuli ni kuandaa ripoti za UONGO kuhusu rasilimali zetu.

..kama alikuwa na nia njema alipaswa kuandaa ripoti za KWELI kuhusu madai yetu, ripoti ambazo tunaweza kuzitetea popote duniani, na ni REJEA kwa wengine watakaoshughulika na madai hayo.

..Utafiti Tundu Lissu umetoka na ripoti ambayo anaweza kuitetea mahala popote, na ni rejea kwa watafiti na wanaharakati wa rasilimali zetu.

..Kwa upande mwingine hatua alizochukua Magufuli zimesababisha Tanzania ishitakiwe na kuhukumiwa kulipa faini kubwa za mabilioni ya fedha. Na sio kwamba hakuonywa kwa hayo yanaweza kutokea.
 
Mimi hushangaa sana namna Botswana ilivyo nikilinganisha na Tanganyika , hasa uchumi wake unategemea dhahabu na almasi , Tanganyika toka wakati wa Nyerere hakuna kilichopatikana zaidi ya kuundwa CCM baada TANU na kutembeza mwenge kila mwaka
Unakosea.
Sio Tnaganyika ni TANZANIA
 
..tatizo la Magufuli ni kuandaa ripoti za UONGO kuhusu rasilimali zetu.

..kama alikuwa na nia njema alipaswa kuandaa ripoti za KWELI kuhusu madai yetu, ripoti ambazo tunaweza kuzitetea popote duniani, na ni REJEA kwa wengine watakaoshughulika na madai hayo.

..Utafiti Tundu Lissu umetoka na ripoti ambayo anaweza kuitetea mahala popote, na ni rejea kwa watafiti na wanaharakati wa rasilimali zetu.

..Kwa upande mwingine hatua alizochukua Magufuli zimesababisha Tanzania ishitakiwe na kuhukumiwa kulipa faini kubwa za mabilioni ya fedha. Na sio kwamba hakuonywa kwa hayo yanaweza kutokea.
Ripoti ipi ya uongo aloitoa shujaa magufuli?
Iweke hapa tuione
 
Bush Dokta,

..kila Rais alijaribu kwa namna fulani kushughulikia suala hili.

..Rais Mkapa aliunda tume za Dr.Kipokola, na kama sijakosea tume ya Gen.Mboma.

..Rais Kikwete aliunda tume za Lau Masha, na tume ya Jaji Bomani.

..Magufuli alikuja na tume za Prof.Mruma, na tume ya Prof.Ossoro.

..Suala la kujiuliza ni kama tunaweza kuzirejea ripoti zote hizo na kutafuta muafaka wa kitaifa wa hatua za kuchukua.
 
Back
Top Bottom