A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?

P Asante Kwa maoni,ila hujasema ninikilichokiukwa na namna Gani,na au unawatetea TU kwakuwa walikohamia kimazabe unamaslahi Nako.Au maoni Yako yameakisi mrengo ulionao kiitikadi?
 
Hivi Kamati kuu haiwezi kukutana kwenye suala la Dharura kama hili?

Halafu Rufaa ya akina Mdee si kwamba kile kikao hakuna mamlaka ya mwisho kuwafukuza uanachama mpaka Barza kuu?

Na baraza kuu si ndio limefanya maamuzi sasa?


kangaroo court

noun

  1. an unofficial court held by a group of people in order to try someone regarded, especially without good evidence, as guilty of a crime or misdemeanour.
    "they conducted a kangaroo court there and then"

 
Mnapompiga mawe paskali mnapaswa kutambua kuwa ni mwanahabari, so ana haki ya kuchambua, kuandika any article anayoweza kuchambua.

Tatizo la baadhi yetu ni kumuangalia mtu jinsi haiba yake na kusahau taranta yake.
 
MAJUNGU NA MASEFURIA.....NB, Mayala ni njaa.

Habari za asubuhi Nguli Paskal..
 
Kanywe sumu Chawa we
 
Mnapompiga mawe paskali mnapaswa kutambua kuwa ni mwanahabari, so ana haki ya kuchambua, kuandika any article anayoweza kuchambua.

Tatizo la baadhi yetu ni kumuangalia mtu jinsi haiba yake na kusahau taranta yake.
Mimi siyo miongoni mwao wanaompiga mawe. Lakini hoja yake inhekuwa na mashiko kama angefanya specific references za hivyo vifungu vya katiba anayoitaja.

Mimi nimeona mashambulizi yasiyo na msingi kutoka kwa huyu nguli. Hajaonesha hata kifungu kimoja cha katiba, bali kaweka hisia zake binafsi akazificha kwenye katiba kwa kuitaja tu.

Hapo anataka kuwadanganya wasiokuwa makini.
 
Mkuu, Kina Halima waeleze kwanza jinsi walivyoteuliwa.
 
Eti na wewe Ni mwandishi wa habari. Shyster newsman!
Kwani maamuzi yanawatoa bungeni, si waendelee kuwa bungeni. We mpuuzi Nini. Issue Ni kuwa SI wanachama wa chadema, Tulia alitaka awachukue waendelee kukaa bungeni
 
Awali iliishiwa busara Sasa umeishiwa Akili. Nani anajisumbua kusikiliza ushauri wa Mtu aliyeishiwa akili? Mwanasheria kama unavyojiita unashabikia uhuni wa kina Ndugai ndo unaona kilikuwa sahihi? Hii ni aibu Kwa wanasheria kama kweli wewe ni mwenzao.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Mkuu P,
Makushauri nenda Chato ukatubu kwenye kabuli la shujaa,maana alikuachia karma kwa kutamka hadhalani kuwa ,p ni njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…