Wanabodi,
Mimi kama kawaida yangu ni mtu wa maswali na hapa nauliza tuu,
Chama cha siasa kina uhuru wa kufanya mambo yake kwa uhuru, ila ni lazima kifuate katiba, Sheria, taratibu na kanuni.
Chama kina katiba yake, katiba hiyo imeweka taratibu za nidhamu kwa wanachama wake, mwanachama unapokiuka, unafukuzwa uanachama.
Katika kufukuzwa uanachama huko, chama husika huitisha vikao vya mamlaka ya nidhamu, ambavyo Kwa Chadema ni vikao vya CC na Baraza Kuu.
Kikao cha mamlaka ya nidhamu, kinapoitishwa kinyume cha katiba, sheria, taratibu na kanuni, mimi ndio nakiita kikao hicho kimekaa kama a Kangaroo Court, na maamuzi hayo ndio nayaita maamuzi ya Kikangaroo.
Kwa kawaida maamuzi ya Kikangaroo yaliyotolewa na a Kangaroo Court, huwaga hayana rufaa. Hivyo kitendo cha Chadema kutoa maamuzi hayo ya Kikangaroo na kuruhusu rufaa, ni uthibitisho kuwa Chadema bado ni Chama cha Kidemokrasia .
Ilitegemewa kikao cha Baraza Kuu, kabla hakijajadili rufaa za wale warufani 19, hatua ya kwanza ni ku deliberate jee Kikao cha CC kilicho wavua uanachama ni kikao halali?. Jee uamuzi wa CC ya Chedema umefikiwa kihalali?.
Kwa vile katiba ya Chadema is an open document, uhalali au ubatili wa kikao kile sio hoja ya maoni binafsi ya mtu, ni issue ya kikatiba, Kisheria, kikanuni na kiutaratibu kwa mujibu wa katiba ya Chadema, sheria, taratibu na kanuni zilikiukwa hivyo CC ile ni a Kangaroo Court na maamuzi yake ni maamuzi ya Kikangaroo!.
Swali linakuja, Jee a Kangaroo Court moja, inapotoa hukumu Kikangaroo, kisha kikao cha rufaa, likaitishwa kuijadili Ile ukangaroo wa kile kikao cha Kwanza cha Kikangaroo, na kikao hiki ambacho uamuzi wake ni wa mwisho, final and conclusive, kikayabariki maamuzi yale ya Kikangaroo, Je nacho kitahesabika ni ni kikao cha Kikangaroo au ni kikao halali, Ila nacho kimebariki maamuzi ya Kikangaroo, jee sasa vikao vyote viwili ni Kangaroo?.
Makamanda 19, kamwe msikubali ukangaroo wa aina hii kuendeshwa katika ardhi ya Tanzania!.
A Way Foward
Kwa vile uamuzi wa kikao cha Baraza Kuu ndio final and conclusive, hakuna ubishi kuwa kina Mdee wameonewa, following precedence ya kesi Zitto Kabwe kupinga maamuzi batili kama hayo mahakaman, nawashauri kina Mdee na kundi lake, kukubali matokeo, kufungasha virago vyao kupisha, na kuiachia karma ndio iwalipie.
Nawashauri wasiende mahakamani kutafuta haki, unless kama ni kutetea tuu ugali wao kwa kuendelea kuvuta muda wa ubunge wao ili waendelee kuvuta kwa lengo tuu ya ku service ule mkopo wa bond ya miaka 5.
Kwa wale waumini wa karma, lets just sit and watch jinsi karma inavyofanya kazi. Kwa vile sio watu wamejaaliwa jicho la kuona the karma operatives, akina sisi wenye jicho hilo, tutakuwa tunawamegea tits and bits.
Kunapotokea jambo kubwa kama hili, usually huwa it's over until it's over, kwa hapa hili lilipofikia,
it's over!.
Wanabodi. Utambulisho. Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, yaani freelance journalist, hatutumwi na mtu yoyote au media yoyote. Sisi waandishi tuko wa aina nyingi na tunafanya kazi za aina nyingi, wengine ni maripota, wengine watangazaji, wengine wahariri, na ndani ya makundi hayo...
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
Hahahahahaaaa kaka P kwaiyo ulibariki kabisa wao kuwa bungeniiu na kuvuliwa kwao uwanachama kwa namna moja au nyingine imekuumiza sanaa maana naona kangaroo imesheni kwenyeee huuuu uziii

Pole Sana team Mwendazake. Mliifanya Tanzania Sukuma gang na kutaka kabisa kuua upinzani. Nenda kawasaidie waende Mahakamani. Kwanza ni lini umesemea Chadema vizuri? Wewe kama uncle wako tu ambaye usiku wa Leo akiwa mavumbini ameona aliowateua wakitimkia mavumbini kinoma. Aliwatoa na wengine gerezani usiku ili kesho yake waapishwe afufuke aje awatetee. Imeandikwa ole wake smtegemeaye Mwanadamu (Mwendazake na Ndugai wako wapi sasa?). Mtu wenu alikuwa mwovu mpaka nikapumzika uanachama na sasa Rais wangu mpenda Amani amenirejesha tena. Sasa Bungeni wanafukuzwa. Shame to Ndugai na Mfu yule. CCM tuache kuendelea kujiweka madoa muhimu tujitahidi tufute yale madoa yote yaliyokichafua Sana Chama 2015 mpaka March 2021. Na Rais wetu anajitajidi mno kusafisha na nina Imani Makamu Mwenyekiti Kinana yuko vizuri na atairejesha hadhi iliyopotezwa. Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Hapo suluhisho ni KATIBA MPYA, itakayoruhusu wagombea binafsi wasiotokana na chama cha siasa. Viongozi wa vyama vya siasa wanakuwa kama miungu watu.
Kuharibu ndoto na dhamira za vijana wenye mawazo chanya kwa taifa, kwa itikadi za kisiasa SI SAWA hata kidogo.
Wanabodi,
Mimi kama kawaida yangu ni mtu wa maswali na hapa nauliza tuu, ila tuanze na kitu kinachoitwa first thing first
Kwanza, Kikao cha Baraza Kuu la Chadema, ni kikao, halali, hivyo maamuzi yaliyofikiwa na kikao hicho, yamefikiwa kihalali kwa kufuata utaratibu, ila uamuzi huo ni uamuzi batili kutokana na Kikao cha msingi kilichowatimua ni kikao batili, na uamuzi wa kuwatimua ni uamuzi batili, hivyo kikao halali kilichoitishwa kihalali, kubariki maamuzi batili yaliyofanywa na kikao batili, kinayayabatilisha maamuzi ya kikao halali, yaliyofikiwa kihalali.
Chama cha siasa kina uhuru wa kufanya mambo yake kwa uhuru, ila ni lazima kifuate katiba, Sheria, taratibu na kanuni.
Chama kina katiba yake, katiba hiyo imeweka taratibu za nidhamu kwa wanachama wake, mwanachama unapokiuka, unafukuzwa uanachama.
Katika kufukuzwa uanachama huko, chama husika huitisha vikao vya mamlaka ya nidhamu, ambavyo Kwa Chadema ni vikao vya CC na Baraza Kuu.
Kikao cha mamlaka ya nidhamu, kinapoitishwa kinyume cha katiba, sheria, taratibu na kanuni, mimi ndio nakiita kikao hicho kimekaa kama a Kangaroo Court, na maamuzi hayo ndio nayaita maamuzi ya Kikangaroo.
Kwa kawaida maamuzi ya Kikangaroo yaliyotolewa na a Kangaroo Court, huwaga hayana rufaa. Hivyo kitendo cha Chadema kutoa maamuzi hayo ya Kikangaroo na kuruhusu rufaa, ni uthibitisho kuwa Chadema bado ni Chama cha Kidemokrasia .
Ilitegemewa kikao cha Baraza Kuu, kabla hakijajadili rufaa za wale warufani 19, hatua ya kwanza ni ku deliberate jee Kikao cha CC kilicho wavua uanachama ni kikao halali?. Jee uamuzi wa CC ya Chedema umefikiwa kihalali?.
Kwa vile katiba ya Chadema is an open document, uhalali au ubatili wa kikao kile sio hoja ya maoni binafsi ya mtu, ni issue ya kikatiba, Kisheria, kikanuni na kiutaratibu kwa mujibu wa katiba ya Chadema, sheria, taratibu na kanuni zilikiukwa hivyo CC ile ni a Kangaroo Court na maamuzi yake ni maamuzi ya Kikangaroo!. Swali la Kwanza, Jee Kikao cha CC ya Chadema Kilichowatimua Kina Mdee ni Kikao Halali au Kilikuwa a Kangaroo Court?.
Naomba Kuwaletea Vifungu vya Mamlaka ya Nidhamu Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema.
6.5 Taratibu zifuatazo lazima zizingatiwe katika kuchukua hatua za kinidhamu:-
6.5.1 Kila tawi litaweka kumbukumbu/orodha ya wanachama wanaokoma kuwa wanachama Uongozi na Vikao vya Tawi. Kumbukumbu itaonyesha jina kamili la mwanachama katika rejista ya wanachama tarehe aliyokoma kuwa mwanachama wa Tawi na sababu za kukoma kuwa mwanachama.
6.5.2 Kwa mujibu wa Ibara 5.4.3 na 5.4.4 ya Katiba, mwanachama yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu ama kuonywa ama kuachishwa ama kufukuzwa uanachama bila kwanza:
(a) Kujulishwa makosa yake kwa maandishi na kutakiwa kutoa majibu katika muda usiopungua wiki mbili.
(b) Kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kikao kinachohusika.
(c) Mwanachama atajulishwa kwa maandishi uamuzi wa kikao mnamo wiki mbili baada ya kusikilizwa.
(d) Kamati Kuu inaweza kuchukua hatua za dharura bila kuzingatia utaratibu wa kifungu (a) na (b) hapo juu kama itaona maslahi ya Chama kwa ujumla yanaweza kuathiriwa isipokuwa mwachama au kiongozi anayelalamikiwa atalazimika kuitwa kwenye kikao husika.
6.5.3 Mtu yeyote aliyepoteza uanachama wake kwa mujibu wa Ibara ya 5.4 ya Katiba atapoteza haki zake zote za uanachama na hatarudishiwa ada, zawadi au ruzuku yeyote aliyokwishaitoa kabla ya kupoteza uanachama wake.
6.5.4 Mwanachama aliyepewa adhabu na kikao kimoja cha kikatiba atakuwa na haki ya kukata rufani kwa kikao cha ngazi ya juu ya kile kilichompa adhabu.
6.5.5 Mwanachama aliyewahi kuachishwa ama kufukuzwa uanachama anaweza kuomba kurejea kwa maandishi kupitia ngazi iliyomfukuza akieleza sababu za kutaka kurejea. Maombi yake yatachunguzwa kwenye ngazi hiyo na kutolewa maamuzi na vikao vya ngazi moja ya juu inayofuata. Aliyesimamishwa au kufukuzwa na Kamati Kuu ataweza tu kurejeshwa na Baraza Kuu. Watakaofukuzwa na Mkutano Mkuu hawatakuwa na chombo kingine chochote kitakachotengua uamuzi huo.
6.5.6 Kiongozi yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu bila kwanza kupewa mashitaka kwa maandishi na mamlaka husika na kupewa nafasi ya kujibu mashitaka kwa maandishi.
6.5.7 Kiongozi mhusika, zaidi ya utetezi wa maandishi, atapewa nafasi ya kujieleza bayana mbele ya kikao cha mamlaka ya nidhamu.
6.5.8 Kiongozi aliyeadhibiwa atapewa taarifa ya misingi ya maamuzi ya mamlaka ya nidhamu ili kumwezesha kuamua kukata rufani au
6.5.9 Mwadhibiwa atakayeamua kukata rufani atatakiwa kufanya hivyo katika muda wa siku thelathini baada ya kuarifiwa uamuzi wa adhabu.
6.5.10 Baada ya kutoa uamuzi kikao husika kinalazimika kuandaa taarifa kamili ya mwenendo wa shauri na kuwasilisha ngazi ya juu. Taarifa hiyo lazima ifike katika muda wa siku kumi na nne baada ya kikao cha maamuzi.
Sasa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa kama nilivyo zianisha hapo juu, jee zilifuatwa?
Kwa nini CC ya Chadema, inawaita watu kihuni huni tuu, bila kuandaa hati ya mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?. Huu sio Ukangaroo?
Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?, Huu sio Ukangaroo?
Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?. Huu sio Ukangaroo?.
Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi cha CC kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?. Jee huu sio Ukangaroo?.
Jibu la Jumla ni Kikao cha CC ya Chadema, kiliwatimua wabunge wale ni a Kangaroo Court.
Furthermore, kweli CC ya Chadema ni mamlaka ya nidhamu kwa wabunge waChadema, sheria, taratibu na kanuni zingefuatwa, ingekuwa na mamlaka ya kuwavua uanachama wabunge hao kihalali, lakini CC ya Chadema, sio mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee, CC hiyo ilipata wapi mamlaka ya kumvua uanachama Mwenyekiti wa Bawacha wakati mamlala yake ya nidhamu ni Baraza Kuu?. Huu ni ukangaroo mkubwa zaidi!
Swali linakuja, Jee a Kangaroo Court moja, inapotoa hukumu Kikangaroo, kisha kikao cha rufaa, likaitishwa kuijadili ule ukangaroo wa kile kikao cha kwanza cha Kikangaroo, na kikao hiki ambacho uamuzi wake ni wa mwisho, final and conclusive, kikayabariki maamuzi yale ya Kikangaroo, ya kikao cha Kikangaroo, Je nacho kitahesabika ni kikao cha Kikangaroo au ni kikao halali, Ila maamuzi ndio ya Kingaroo, jee sasa maamuzi ya vikao vyote viwili ni maamuzi ya Kikangaroo?.
Makamanda 19, kamwe msikubali ukangaroo wa aina hii kuendeshwa katika ardhi ya Tanzania!.
A Way Forward
Kwa vile uamuzi wa kikao cha Baraza Kuu ndio final and conclusive, hakuna ubishi kuwa kina Mdee wameonewa, following precedence ya kesi Zitto Kabwe kupinga maamuzi batili kama hayo mahakaman, nawashauri kina Mdee na kundi lake, kukubali matokeo, kufungasha virago vyao kupisha, na kuiachia karma ndio iwalipie.
Nawashauri wasiende mahakamani kutafuta haki, unless kama ni kutetea tuu ugali wao kwa kuendelea kuvuta muda wa ubunge wao ili waendelee kuvuta kwa lengo tuu ya ku service ule mkopo wa bond ya miaka 5.
Kwa wale waumini wa karma, lets just sit and watch jinsi karma inavyofanya kazi. Kwa vile sio watu wamejaaliwa jicho la kuona the karma operatives, akina sisi wenye jicho hilo, tutakuwa tunawamegea tits and bits.
Kunapotokea jambo kubwa kama hili, usually huwa it's over until it's over, kwa hapa hili lilipofikia,
it's over!.
Wanabodi. Utambulisho. Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, yaani freelance journalist, hatutumwi na mtu yoyote au media yoyote. Sisi waandishi tuko wa aina nyingi na tunafanya kazi za aina nyingi, wengine ni maripota, wengine watangazaji, wengine wahariri, na ndani ya makundi hayo...
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
Wanabodi, JF ni mtandao wa jamii, moja ya faida kubwa ya mitandao ya kijamii zaidi ya kuhabarisha habari mbalimbali, ni kuelimishana, wale members wa mitandao ya kijamii wanaojua jambo fulani, na ambao sio wachoyo wa kuelimisha wengine, hujitolea muda wao mwingi wa thamani, kuwaelimisha wengine...
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye karma, mtu unaadhibiwa au kuhukumiwa kwa mawazo, maneno na matendo yako, karma haina mswalie Mtume, wala...
Mayala hizi Karma ni kwa upinzani tu.Mbona CCM imefanya madudu mengi sana sioni kama karma inawahusu nawaona wanadunda tu. wala haielekei kama wataachia madaraka karibuni.ebu tufafanulie CCM wa survive vipi na hizi Karma.

Mayala, nina imani, yeye mwenyewe atakuwa anajihesabia ni mwelewa sana kwa ku-copy maandiko mengi ambayo yeye mwenyewe hasomi wala kuyaelewa.
Angekuwa ni mtu anayesoma kwa umakini, angegundua kuwa CHADEMA walitumia kifungu 5.4 4 (d), na hivyo hawajavunja katiba. Bush lawyers huwa wanawapoteza watu wengi sana huko mitaani.
Maelezo ni mengi lakini cha ajabu huyu nguli mbobevu wa uandishi hajaweka reference ya vifungu vya katiba. Pamoja na kuitaja katiba, mleta hoja "amebwabwaja" tu bila kuleta ushahidi wa wazi wa vifungu vya katiba vilivyokiukwa.
Eti na wewe Ni mwandishi wa habari. Shyster newsman!
Kwani maamuzi yanawatoa bungeni, si waendelee kuwa bungeni. We mpuuzi Nini. Issue Ni kuwa SI wanachama wa chadema, Tulia alitaka awachukue waendelee kukaa bungeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.