A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?

Kwani ni lazima hawa 19 wawe wanachama wa CHADEMA tu, Pascal kama imekuuma sana washauri dada zako waje CCM na waendelee kuwa wabunge kwani ni nini mbaya.

Kwa mfano Pascali we uliona wapi mtuhumiwa yupo gelezani, ni usiku lakini anatolewa toka Singida hadi Dodoma kwenda kuapa Ubunge kesho yake asubuhi - huu ni UHUNI ambao kwa kweli kama taifa tulifika pabaya sana...still wewe unayejiita nguli wa habari na uchunguzi unatetea mambo ya uchafu kama haya - shame.
 
Maneno meeeeengi pumba tupu Pasco we ulisema hawawezi kuwafukuza,ndiyo tayari hivyoChadema ni chama pengine cha pili kwa kuwa na wanachama wengi na kwa ukubwa,hawawezi kuendesha mambo yao Kama TLP ya Mrema ya sasa.Hata kama unawachukia wape heshima yao.Maamuzi waliyoyafanya hata wao hawajapenda lakini kwa afya ya taasisi yao Kama chama,imelazimu na maisha yanaendelea.ndiyo imeisha hiyo ivyo.
 
Pascal umeandika vizuri sana ila bandiko lako linahusu kikundi kidogo sana ambacho hakina uzito kwenye taifa, ingekuwa vizuri hiki ulichokiandika ukigeuze kiwe kwenye uongozi wa nchi ili wananchi wawe wanapata haki kwa wakati. Awamu ya Magufuli kuna wananchi wengi walihukumiwa bila kushitakiwa bahati mbaya wewe haukuwepo nchini, laiti ungekuwepo ungeandika zaidi ya hiki ulichoandika. Tanzania imekuwa ikitawaliwa bila kufuata katiba, nyie wenzetu mlitumia kisukuma kwenye kampeni ya uraisi na hamkukemewa! Nyie mlizuia baadhi kufanya kampeni huku mkijua hamuhitaji kura kuwa watawala mkijua nchi ni yenu! Yote hayo yalifanyika huku ukijua vifungu vya katiba ila uliona ni sawa tu kwani linakuhusu.
Mwisho nasema mwandishi anayependa kumuandika mtu mmoja tu kwa kutoridhika naye hupoteza wasomaji wa maandiko yake.
 
Huyu Mzee amekuwa kituko Sana siku hizi sijui njaa imezidi tumboni.
Mbona hakuwapigania akina Nyalandu, Membe Sophia Simba walipo fukuzwa Chama chako CCM wew Pascal?Mbona hukuwapigania wabunge walio fukuzwa na CUF ya lipumba? Acha kihele hele wew babu na Chadema. Sisi tutakushughulikia bila kujali umri wako ukiwa unaropoka uharo namna hii hata mjukuu wako anaona babu njaa wewe.

Acha kufikiri kwa kutumia Makalio mzee zama zimebadilika. Fanyeni kazi kwa bidii mpate pesa halali sio kutegemea teuzi uchwara mnajidhalilisha mijitu mizima Kama wewe.
 
hivi wewe uliyepata kura 0 unaweza kuongea nini kuhusu siasa?
hiyo nguvu unaipata wapi?
ujasiri huo unaupata wapi?
 
Paskali wakati mwingine huna akili.
Membe alikosea nini huko kwenu.

Kwa hyo wewe unaona uhalali upo wa hao wabunge kufoji nyaraka na kujipachika ubunge waaachwe?
Sheria umesom ila huna akili.

Over
 
Utajua hujui, wewe mbona uliamua kuoa baada ya mkeo kukusaliti? kwanini usingemsamehe na kuamua kumsubiri. USALITI ni laana na kiongozi wa usaliti ni lucifer.
Pascal Mayalla upoooo ... hii vipi hiii huyu dogo anyosema ni kweli? ni kweli ulimuacha mkeo ukaoa mwengine mpyaaa!!? sasa leo mbona unashauri COVID19 wabaki chamani ilhali wamekiumiza chama kama inavoonekana kwako uliumizwa na mkeo ukamuacha na kumuolea mke mwengine?
 
Paskali umeandika mengi katika hili la kuwafukuza hawa Covid...na pengine umeandika mbichi na mbivu kwa uelewa wako. Lakini kinachoniskitisha zaidi ni kuwa Tumeshuhudia CCM wakifikuzwa wanachama wao wengi tena wanachama ambao walionyesha uadilifu ila tu kwa kuwa walikosoa mwenendo mbovu wa utawala. Hakuwahi kuja na Ukangaroo huu. Leo umejitokeza kwa Chadema juu ya maamuzi yao .Paskali wewe Umechagua upande ukweli au wa Unafiki??
 
Paskali wakati mwingine huna akili.
Membe alikosea nini huko kwenu.

Kwa hyo wewe unaona uhalali upo wa hao wabunge kufoji nyaraka na kujipachika ubunge waaachwe?
Sheria umesom ila huna akili.

Over
hili Pascal Mayalla anjifanya halioni halafu anashupaza mishipa ya shingo kushadadia wanafiki COVID19 wasibanjuliwe... sasa CDM imeshafanya maamuzi ya KIUMENI pascal angeshupaza mishipa kwenye ishu ya MEMBE angeeleweka kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…