A New Day for U.S.A -Tanzania Relations : H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania

Halafu kuna baadhi ya wanafiki wachache eti wanabeza na kudhihaki ziara ya Mhe. Rais nchini Marekani.!!!

Nadhani hawakutegemea Mama kama angeimarisha uhusiano wetu na Marekani kwa kiasi hiki!!

Wanafiki wameumbuka sana, na baada ya ziara hii kuwa yenye mafanikio makubwa wanafiki na wazandiki wamejitokeza hadharani pasina hata aibu.
Tunamuonbea Rais wetu asonge mbele kazi irndeleeeee
Cc: Umoja Party & co;
 
Mwendazake alikuwa anaziogopa moment kama hizi..
Diplomasia ni muhimu..
... ni kama ndoto ila ndio hivyo huwezi kuamini ndani ya muda mfupi taifa liliingia gizani haswa! Completely tulikuwa kwenye dunia ya peke yetu kwa sababu ya mtu mmoja!
 
...

Wanafiki wameumbuka sana, na baada ya ziara hii kuwa yenye mafanikio makubwa wanafiki na wazandiki wamejitokeza hadharani pasina hata aibu.
Tunamuonbea Rais wetu asonge mbele kazi irndeleeeee
Mkuu watu hawapingi hizo safari bali ufujaji na kuhalalisha upigaji, kwani wewe unaishi nchi gani?.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema sasa serikali yake ipo katika mkakati wa kuiweka Tanzania mahala pake pa ushawishi kimataifa, kama aliokuwa nao baba wa taifa Mwl. Julius Nyerere.

FROM AP ARCHIVE 23 JULY 2015

SYND 19 1 76 NYERERE PRESS CONFERENCE

(18 Jan 1976) Tanzanian President Julius Nyerere at a press conference in Delhi where he says why his country supports the Popular Movement for the Liberation of Angola.
Source : AP Archive
 
From the AP archive
21 July 2015

TANZANIA: US PRESIDENT BILL CLINTON ARRIVES 1

(28 Aug 2000) Natural Sound XFA President Clinton has arrived in Tanzania to help Nelson Mandela's faltering efforts to end seven years of ethnic warfare in Burundi that has killed more than 200,000 people. After two days of trying to bolster a 15-month-old democracy in Nigeria, Africa's most populous nation, Clinton flew to Tanzania, where Mandela and other mediators have tried for weeks to craft a Burundi cease-fire. The former South African president had hoped Clinton could join 12 African leaders in witnessing a peace agreement between Burundi's Tutsi-controlled government and Hutu rebels. President Clinton and his daughter Chelsea were greeted by Tanzanian President Benjamin Mkapa and tribal dancers before both leaders immediately went into private talks. Clinton arrived to find talks over the situation in Burundi in apparent disarray. Burundi's president had demanded last-minute changes to a power-sharing agreement that was supposed to be signed on Monday. Although the nature of the changes is not clear, reports suggest that negotiators are now aiming for a scaled-down agreement, rather than none at all. Clinton later met with former South African President Nelson Mandela in hopes that they could come up with a way to salvage the situation. The administration, noting that some rebel groups have not come to the negotiating table, are declining to connect Clinton's visit to a signing ceremony. Instead his arrival is seen as a show of support for Mandela.
 
LIVE / MUBASHARA :

25 April 2022
District of Columbia

A New Day for U.S.-Tanzania Relations: H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania

the Wilson Center Africa Program for A Conversation with H.E. Samia Suluhu Hassan, President of the Republic of Tanzania.

President Samia Suluhu Hassan will share her vision for Tanzania and U.S.-Tanzania relations, and sit in conversation with Ambassador Mark Green, President and CEO of the Wilson Center and former U.S. Ambassador to Tanzania from 2007-2009, to discuss key challenges and opportunities for the future of U.S.-Tanzania relations in various spheres.

Source : WoodrowWilsonCenter

Ipo live:
Mh. Rais Samia Hassan anazidi kuelezea masuala mbalimbali ikiwemo demokrasia, uhuru wa Bunge, sekta ya gesi , umeme wa mabwawa ya maji, nishati mbadala wa kuzalisha umeme, upungufu wa mbolea toka Ukraine na Russia ....

Mbali ya changamoto alizozijibu ktk maswali ya mtayarishaji wa kipindi pia, Mh. Rais agusia fursa nyingi zinazokuja baada ya nchi 'kufunguka' kwa dunia toka achukue hatamu za uongozi wa nchi ...

Miradi inayofadhiliwa na Marekani iliyosimamishwa mwaka 2016, sasa 2022 imefunguliwa baada ya mazungumzo ya uwazi baina yake Mh. Rais Samia Hassan na makamu wa rais wa Marekani Mh. Kamala D. Harris hivyo kufuatiwa na ukurasa mpya wa mahusiano ya kufahamiana kufunguliwa baina ya Tanzania na Marekani.

Mh. Rais afafanua sera ya nchi kuwapatia watoto wa kike wanafunzi waliopachikwa mimba kuruhusiwa kurudi shuleni kuendelea na masomo.

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan agusia umoja wa kitaifa unaojengwa chini ya uongozi wake ikiwemo kuachiwa toka mahabusu viongozi wa vyama vya upinzani, kufunguliwa magazeti yaliyofungiwa, bunge kuwa 'live' ili wananchi waweze kufuatilia kinachoendelea bungeni kupitia wawakilishi wao na serikali kujibu kero za wananchi . Kutoa elimu kwa taasisi zinazohusika na utoaji haki kupitia mfumo wa haki jinai (criminal justice system) kama Polisi, Ofisi za Mwendesha Mashtaka, Magereza na Mahakama

Uchumi wa buluu, biashara na mahusiano mapya baina ya Tanzania na dunia ....
Asante kwa kutufahamisha.Wananchi tunamuombea afya na uzima Rais wetu,kipenzi cha watanzania.
 
13 February 2016

EAC Observers lead by Team is led by Ali Hassan Mwinyi, late Nyerere successor

Ex - President Ali Hassan Mwinyi talks on importance of Free and fair elections , good governance ..
 
LIVE / MUBASHARA :

25 April 2022
District of Columbia

A New Day for U.S.-Tanzania Relations: H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania

the Wilson Center Africa Program for A Conversation with H.E. Samia Suluhu Hassan, President of the Republic of Tanzania.

President Samia Suluhu Hassan will share her vision for Tanzania and U.S.-Tanzania relations, and sit in conversation with Ambassador Mark Green, President and CEO of the Wilson Center and former U.S. Ambassador to Tanzania from 2007-2009, to discuss key challenges and opportunities for the future of U.S.-Tanzania relations in various spheres.

Source : WoodrowWilsonCenter

Ipo live:
Mh. Rais Samia Hassan anazidi kuelezea masuala mbalimbali ikiwemo demokrasia, uhuru wa Bunge, sekta ya gesi , umeme wa mabwawa ya maji, nishati mbadala wa kuzalisha umeme, upungufu wa mbolea toka Ukraine na Russia ....

Mbali ya changamoto alizozijibu ktk maswali ya mtayarishaji wa kipindi pia, Mh. Rais agusia fursa nyingi zinazokuja baada ya nchi 'kufunguka' kwa dunia toka achukue hatamu za uongozi wa nchi ...

Miradi inayofadhiliwa na Marekani iliyosimamishwa mwaka 2016, sasa 2022 imefunguliwa baada ya mazungumzo ya uwazi baina yake Mh. Rais Samia Hassan na makamu wa rais wa Marekani Mh. Kamala D. Harris hivyo kufuatiwa na ukurasa mpya wa mahusiano ya kufahamiana kufunguliwa baina ya Tanzania na Marekani.

Mh. Rais afafanua sera ya nchi kuwapatia watoto wa kike wanafunzi waliopachikwa mimba kuruhusiwa kurudi shuleni kuendelea na masomo.

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan agusia umoja wa kitaifa unaojengwa chini ya uongozi wake ikiwemo kuachiwa toka mahabusu viongozi wa vyama vya upinzani, kufunguliwa magazeti yaliyofungiwa, bunge kuwa 'live' ili wananchi waweze kufuatilia kinachoendelea bungeni kupitia wawakilishi wao na serikali kujibu kero za wananchi . Kutoa elimu kwa taasisi zinazohusika na utoaji haki kupitia mfumo wa haki jinai (criminal justice system) kama Polisi, Ofisi za Mwendesha Mashtaka, Magereza na Mahakama

Uchumi wa buluu, biashara na mahusiano mapya baina ya Tanzania na dunia ....

Mh Rais anakutana na wastafu tu?🤣🤣
 
... huyu Rais kipenzi cha watanzania H.E. Samia Suluhu, Mwenyezi Mungu wa Mbinguni ambariki sana! She has a vision to our country. Ndani ya mwaka mmoja kurudisha mahusiano ya kimataifa yaliyokuwa yameparaganyika vibaya sio kazi ndogo. Sasa tuijenge Tanzania Moja badala ya kubaguana kivyama na sifa nyingine za kipumbavu zilizoanza kushamiri.
A word
 
Ipo live Mh. Rais Samia Hassan anazidi kuelezea masuala mbalimbali ikiwemo demokrasia, uhuru wa Bunge, sekta ya gesi , umeme wa mabwawa ya maji, nishati mbadala wa kuzalisha umeme, upungufu wa mbolea toka Ukraine na Russia ....
Kuna watoto watanuna🤣
 
LIVE / MUBASHARA :

25 April 2022
District of Columbia

A New Day for U.S.-Tanzania Relations: H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania

the Wilson Center Africa Program for A Conversation with H.E. Samia Suluhu Hassan, President of the Republic of Tanzania.

President Samia Suluhu Hassan will share her vision for Tanzania and U.S.-Tanzania relations, and sit in conversation with Ambassador Mark Green, President and CEO of the Wilson Center and former U.S. Ambassador to Tanzania from 2007-2009, to discuss key challenges and opportunities for the future of U.S.-Tanzania relations in various spheres.

Source : WoodrowWilsonCenter

Ipo live:
Mh. Rais Samia Hassan anazidi kuelezea masuala mbalimbali ikiwemo demokrasia, uhuru wa Bunge, sekta ya gesi , umeme wa mabwawa ya maji, nishati mbadala wa kuzalisha umeme, upungufu wa mbolea toka Ukraine na Russia ....

Mbali ya changamoto alizozijibu ktk maswali ya mtayarishaji wa kipindi pia, Mh. Rais agusia fursa nyingi zinazokuja baada ya nchi 'kufunguka' kwa dunia toka achukue hatamu za uongozi wa nchi ...

Miradi inayofadhiliwa na Marekani iliyosimamishwa mwaka 2016, sasa 2022 imefunguliwa baada ya mazungumzo ya uwazi baina yake Mh. Rais Samia Hassan na makamu wa rais wa Marekani Mh. Kamala D. Harris hivyo kufuatiwa na ukurasa mpya wa mahusiano ya kufahamiana kufunguliwa baina ya Tanzania na Marekani.

Mh. Rais afafanua sera ya nchi kuwapatia watoto wa kike wanafunzi waliopachikwa mimba kuruhusiwa kurudi shuleni kuendelea na masomo.

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan agusia umoja wa kitaifa unaojengwa chini ya uongozi wake ikiwemo kuachiwa toka mahabusu viongozi wa vyama vya upinzani, kufunguliwa magazeti yaliyofungiwa, bunge kuwa 'live' ili wananchi waweze kufuatilia kinachoendelea bungeni kupitia wawakilishi wao na serikali kujibu kero za wananchi . Kutoa elimu kwa taasisi zinazohusika na utoaji haki kupitia mfumo wa haki jinai (criminal justice system) kama Polisi, Ofisi za Mwendesha Mashtaka, Magereza na Mahakama

Uchumi wa buluu, biashara na mahusiano mapya baina ya Tanzania na dunia ....

😍
 
Back
Top Bottom