A New Day for U.S.A -Tanzania Relations : H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania

A New Day for U.S.A -Tanzania Relations : H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania

Akitoka huko aende Netherlands, nchi inayoongoza kwa kuwekeza nje ya Taifa lao. Hao wadachi na Hong Kong ndio wanaoongoza kuwekeza China mainland.

Uchumi wa China ulikuwa hohe hahe, ni uwekezaji wa mataifa ya Ulaya na America ulioibadilisha China. Usitokee mjinga akakudanganya eti uwekezaji wa nje hauna tija.

Halafu aende Germany na Japan.
 
Kazi itaendeleaje kama Rais wa nchi anaishi magharibi ya mbali? Inawezekana wenzetu wanajiuliza Rais anawezaje kuishi nje ya nchi na nchi ipo ipo tu bila Rais? Kwa hali hii nchi haitaendelea na ndiyo sababu haiendelei, ninajua unajua kuwa wakati tunakabidhiwa nchi Tanganyika na Indonezya zilikuwa zinalingana kimaendeleo, lakini leo sisi tuko kwenye kunyang'anyana kura tu, na kutabiri ushindi ujao utakuwa wa kishindo! Hayo ndiyo maendeleo myajuayo, amka.
Kuna wakati Tanzania ilianza kuamka kimaendeleo, Pugu Road ilichangamka kwa viwanda vyenye tija siyo vya marumaru, Moro, Mwanza, Tanga, Arusha, Musoma, Tabora, Mbeya na Mang'ula kuliinuka kwa viwanda vyenye tija si vyakuunganisha bodaboda toka China.
Hatuwezi kuendelea kiuchumi kwa Rais kuishi nje ya nchi akifanya mazungumzo na machalii.
Huu sasa ni wivu tuu wa trips na per Diem za$$!. Nchi iko chini ya kaimu rais, kila kitu ni kinakwenda sawa!. Acheni wivu wa ...
P
 
Pascal, hivi unadhani bado ni muafaka kuendelea kuitumia hiyo kauli ya "kazi iendelee"?
Kwa maoni yangu nadhani umefika wakati wa kuachana nayo na kuanzisha slogan mpya. 'Kazi iendelee' ilipoanza ilimaanisha kuendeleza kazi iliyoanzishwa na kamanda JPM. Sasa kwa kuwa JPM siyo mpendwa wa 'watu' tena, na hao walioanzisha 'kazi iendelee' ndio wanamnanga kila siku, mi nadhani umefika wakati sasa wa kuachana nayo na kuanzisha slogan mpya.
Au wadau mnaonaje?
No the slogan is appropriate!. JPM alikuwa ni Mzee wa hapa kazi tuu, Mama ameingia kuendeleza hapa kazi, inaendelea.
P
 
Pascal, hivi unadhani bado ni muafaka kuendelea kuitumia hiyo kauli ya "kazi iendelee"?
Kwa maoni yangu nadhani umefika wakati wa kuachana nayo na kuanzisha slogan mpya. 'Kazi iendelee' ilipoanza ilimaanisha kuendeleza kazi iliyoanzishwa na kamanda JPM. Sasa kwa kuwa JPM siyo mpendwa wa 'watu' tena, na hao walioanzisha 'kazi iendelee' ndio wanamnanga kila siku, mi nadhani umefika wakati sasa wa kuachana nayo na kuanzisha slogan mpya.
Au wadau mnaonaje?
kumbuka "slogan" ilikuwa ya Chama bali JPM alibebeshwa kuitekeleza vivyo hivyo awamu hii ya 6 Rais kabebeshwe "slogan" ili aitekeleze kwa vitendo.
Hivyo "slogan" sio mali ya Mtu/Rais bali ni ya Chama.
 
Ila huyu mama sikutegemea Kama atakuwa kiongozi wa kiwango namna hii, anaweza kuwafunika hata watangulizi wake.
Piga kazi mama 2025 kura yangu unaweza kunishawishi nikupe
 
Mambo mengi jumuiya ya kimataifa inataka Tanzania irekebishe

H.E President Samia Hassan :​

April 11, 2022

Tanzania's Hassan has put out positive signals: deeper change is yet to come

Rob Ahearne , University of East London
President Samia Hassan has set Tanzania on a change of course – time will tell if the pattern holds and addresses the country's challenges.
March 21, 2022

Tanzania's Hassan has made changes: but the ruling party retains a tight grip

Aikande Clement Kwayu , University of Wisconsin-Madison
President Samia Hassan may have been an 'accidental president' but Tanzania's leader has set out to showcase her own political strategy.
March 14, 2022

Tanzania is getting a political remake as President Hassan eyes the 2025 polls

Nicodemus Minde , United States International University
Hassan is winning party loyalists, and has launched a diplomatic charm offensive ahead of 2025 polls.
December 9, 2021

Tanzania must face up to calls for reform if it wants to keep the peace

Aikande Clement Kwayu , University of Wisconsin-Madison
The emerging partisan politics and the polarization it creates is a new threat for Tanzania.
July 29, 2021

Tanzania's Hassan faces her first political test: constitutional reform

Nicodemus Minde , United States International University
Despite the relative political stability over the years, Tanzania needs a new constitution to address contemporary challenges and strengthen institutions.
March 27, 2021

Tanzania's new president faces a tough 'to do' list

Rob Ahearne , University of East London
Hassan may prove the right sort of politician to usher in a new era of bipartisan politics, less populist and authoritarian and more collegial.
March 23, 2021

In Magufuli's shadow: the stark choices facing Tanzania's new president

Michaela Collord , University of Oxford and Thabit Jacob , Roskilde University
Hassan, like Magufuli before her, has taken office without her own political base and will also have to contend with revived factional maneuvering.
March 22, 2021

Tanzania's Samia Hassan has the chance to heal a polarized nation

Nicodemus Minde , United States International University
She has been described as compassionate, rational and calm – attributes that are a far departure from her former boss.
 
Huu sasa ni wivu tuu wa trips na per Diem za$$!. Nchi iko chini ya kaimu rais, kila kitu ni kinakwenda sawa!. Acheni wivu wa ...
P
Asante sana, leo nimewasikia wamalawi wanalalamika Rais wao anazulura mikoani kwa siku nne sasa, maadam umeweka wivu wa masurufu ya safari, nimekuelewa.
Tupo pamoja na safari ziendelee and that's what means Safari Tour.
 
Pascal, hivi unadhani bado ni muafaka kuendelea kuitumia hiyo kauli ya "kazi iendelee"?
Kwa maoni yangu nadhani umefika wakati wa kuachana nayo na kuanzisha slogan mpya. 'Kazi iendelee' ilipoanza ilimaanisha kuendeleza kazi iliyoanzishwa na kamanda JPM. Sasa kwa kuwa JPM siyo mpendwa wa 'watu' tena, na hao walioanzisha 'kazi iendelee' ndio wanamnanga kila siku, mi nadhani umefika wakati sasa wa kuachana nayo na kuanzisha slogan mpya.
Au wadau mnaonaje?
Hamia Umoja Party kama unaona unaboreka
 
Kazi itaendeleaje kama Rais wa nchi anaishi magharibi ya mbali? Inawezekana wenzetu wanajiuliza Rais anawezaje kuishi nje ya nchi na nchi ipo ipo tu bila Rais? Kwa hali hii nchi haitaendelea na ndiyo sababu haiendelei, ninajua unajua kuwa wakati tunakabidhiwa nchi Tanganyika na Indonezya zilikuwa zinalingana kimaendeleo, lakini leo sisi tuko kwenye kunyang'anyana kura tu, na kutabiri ushindi ujao utakuwa wa kishindo! Hayo ndiyo maendeleo myajuayo, amka.
Kuna wakati Tanzania ilianza kuamka kimaendeleo, Pugu Road ilichangamka kwa viwanda vyenye tija siyo vya marumaru, Moro, Mwanza, Tanga, Arusha, Musoma, Tabora, Mbeya na Mang'ula kuliinuka kwa viwanda vyenye tija si vyakuunganisha bodaboda toka China.
Hatuwezi kuendelea kiuchumi kwa Rais kuishi nje ya nchi akifanya mazungumzo na machalii.
Urais ni Taasis sio mtu🤣🤣
 
Mambo mengi jumuiya ya kimataifa inataka Tanzania irekebishe

H.E President Samia Hassan :​

April 11, 2022

Tanzania's Hassan has put out positive signals: deeper change is yet to come

Rob Ahearne , University of East London
President Samia Hassan has set Tanzania on a change of course – time will tell if the pattern holds and addresses the country's challenges.
March 21, 2022

Tanzania's Hassan has made changes: but the ruling party retains a tight grip

Aikande Clement Kwayu , University of Wisconsin-Madison
President Samia Hassan may have been an 'accidental president' but Tanzania's leader has set out to showcase her own political strategy.
March 14, 2022

Tanzania is getting a political remake as President Hassan eyes the 2025 polls

Nicodemus Minde , United States International University
Hassan is winning party loyalists, and has launched a diplomatic charm offensive ahead of 2025 polls.
December 9, 2021

Tanzania must face up to calls for reform if it wants to keep the peace

Aikande Clement Kwayu , University of Wisconsin-Madison
The emerging partisan politics and the polarization it creates is a new threat for Tanzania.
July 29, 2021

Tanzania's Hassan faces her first political test: constitutional reform

Nicodemus Minde , United States International University
Despite the relative political stability over the years, Tanzania needs a new constitution to address contemporary challenges and strengthen institutions.
March 27, 2021

Tanzania's new president faces a tough 'to do' list

Rob Ahearne , University of East London
Hassan may prove the right sort of politician to usher in a new era of bipartisan politics, less populist and authoritarian and more collegial.
March 23, 2021

In Magufuli's shadow: the stark choices facing Tanzania's new president

Michaela Collord , University of Oxford and Thabit Jacob , Roskilde University
Hassan, like Magufuli before her, has taken office without her own political base and will also have to contend with revived factional maneuvering.
March 22, 2021

Tanzania's Samia Hassan has the chance to heal a polarized nation

Nicodemus Minde , United States International University
She has been described as compassionate, rational and calm – attributes that are a far departure from her former boss.
Kwanini sisi tulazimishwe kuziwekea mazingira mazuri nchi nyingine ili zinufaike na rasilimali zetu??

Badala ya sisi kweka taratibu tunazotaka kwa hao wanaotaka kuja kwetu??

Sio lazima uwekezaji wa nje hapa nyumbani sisi pia tunaweza wekeza.
 
25 April 2022

TANZANIA KUPIMWA , HIVYO TUME YA UMOJA WA MATAIFA (UN) HAKI ZA BINADAMU YATUA TANZANIA
1650972389205.png

Kamisheni ya Haki za Binaadamu ya UN yatua nchini; hiki ndio wanachofanya kufuatilia ahadi ilizotoa Tanzania, pia serikali yabanwa na UN kuwa iwe wazi waTanzania wafahamu serikali yao iliridhia nini ktk masuala 252 iliyosaini na kuikubali kwa niaba ya wananchi

Timu ya umoja wa mataifa ainayoshughulikia Haki za Binaadamu na utawala bora imekuja nchini kujadiliana na Tume ya Haki za Binaadamu na utawala bora juu ya masuala mbalimbali yanayohusu haki za binaadamu ikiwemo haki za binaadamu katika wananchi kufahamishwa ni mikataba gani inayohusu haki za binadamu iliyoridhiwa na serikali ya Tanzania iliyoridhia huko Geneva Uswisi Ofisi za Kamishina wa UN wa Haki za Binadamu kama anavyotueleza Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora Nchini Tanzania https://www.ohchr.org/en/press-rele...comes-universal-periodic-review-saint-vincent

TOKA MAKTABA :

Mikataba 252 ambayo Tanzania iliridhiani inayogusa haki za binadamu ni kama ifuatayo

23 March 2022
Geneva, Switzerland

The Human Rights Council in a midday meeting adopted the Universal Periodic Review outcomes of Tanzania

Consideration of Outcome of Universal Periodic Review of Tanzania

Presentation by Tanzania

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania was a strong proponent of the Universal Periodic Review mechanism which brought together State actors, civil society and development partners. As the Government pursued the goal of realisation of human rights for all Tanzanians, the recommendations were given the highest consideration. All 252 recommendations were disseminated to State and non-State actors, including the National Human Rights Institution as well as civil society, in both mainland Tanzania and Zanzibar. As a result of broad-based consultations, Tanzania had accepted to implement 167 recommendations, which were in compliance with the Constitution of the United Republic of Tanzania and the Constitution of Zanzibar.

The recommendations aligned with policies, laws and programmes which called for the promotion and protection of civil, political, economic, social and cultural rights, emerging human rights issues, anti-corruption efforts, environmental conservation and development priorities of Tanzania. The Government affirmed its commitment to implementing all the accepted recommendations, which had been deemed strategic and effective interventions for the promotion and protection of human rights. 65 recommendations had been noted; those were recommendations that were not in alignment with the Constitutions, policies, laws, traditions, beliefs and culture of Tanzania, or which required further consultations before making a conclusive decision. The Government strived to ensure that all Tanzanians were provided with equal civil, political, economic, social and cultural human rights.

Discussion

Speakers applauded the Government of Tanzania for progress made in strengthening its institutional frameworks for the promotion and protection of rights and fundamental freedoms. Strides had been made in the area of social development, including the introduction of fee-free primary education and remote learning during the COVID-19 pandemic. Speakers further commended Tanzania on the establishment of the National Commission for Human Rights, which was in accordance with the Paris Principles. Speakers noted steps taken to curb child labour, as well as the measures taken by the Government toward ensuring freedom of expression and the right to information, which included entering into dialogue with media practitioners and amending some pieces of legislation. Tanzania’s acceptance of close to 75 percent of the recommendations showed real commitment to further promoting and protect the rights of all persons on its territory. The acceptance of recommendations prioritised expenditures in health including specialised care and services for people living with albinism, as well as scaling up investment in education.

Other speakers took note of the challenges faced by Tanzania in implementing some of its human rights obligations under Article 12(3) of the African Charter which recognized the right to seek and obtain asylum in other countries, as well as the 1951 Convention relating to the Status of Refugees. Speakers regretted that Tanzania did not receive any recommendations on the rights of sex workers, urging the Government to repeal the Penal Code provisions criminalising acts associated with sex work, place a moratorium on the arrest and harassment of sex workers under vagrancy laws, and revise and harmonise national legislation in line with regional and international human rights instruments. Tanzanian authorities continued to weaponise the law to target the opposition and critical voices, using non-bailable offence provisions under the Criminal Procedure Act to detain people for unreasonable periods of time. The State should ensure accountability for election-related human rights violations and guarantee post-election human rights reforms to reverse the Government’s increasing repression and crackdown on civic space.

The Vice-President of the Council informed that out of 252 recommendations received, 167 enjoyed the support of Tanzania, while 65 had been noted. Additional clarification was provided on 20 recommendations, indicating which parts of the recommendations were supported and which parts were noted

Concluding Remarks

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania continued to accord great significance to the Universal Periodic Review, as it played a key role in the promotion and protection of human rights in the country. Tanzania was committed to implementing the accepted recommendations, as they would have a direct impact on the realisation of human rights and sustainable development of the country. The Universal Periodic Review was a continuous process, and the Government would continue to address the remaining challenges through dialogue, in collaboration with all stakeholders. It would also continue to strengthen its internal mechanisms and promote engagement with all non-State actors and development partners. The Government, under the stewardship of Tanzania’s first female President, would meet the aspirations and objectives of the Universal Periodic Review mechanism during the coming fourth cycle.

Link: Conseil des droits de l’homme : Examen périodique de Saint-Vincent-et-les-Grenadines, de la Papouasie-Nouvelle-Guinée, du Tadjikistan et de la Tanzanie | ONU GENEVE
 
Kwanini sisi tulazimishwe kuziwekea mazingira mazuri nchi nyingine ili zinufaike na rasilimali zetu??

Badala ya sisi kweka taratibu tunazotaka kwa hao wanaotaka kuja kwetu??

Sio lazima uwekezaji wa nje hapa nyumbani sisi pia tunaweza wekeza.
Mfano tungewekeza kwenye mafuta ya kula na mifugo(nyama ya ng'ombe) tosha kabisa
 
TOKA MAKTABA 31 Aug 2020

Makamu wa Rais Samia asisitiza Wadau wa haki kama Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania kuisaidia serikali kuona taasisi zake inafanya mambo vipi ... kutuambia maonevu yapo wapi ... haki itendeke... haki ya uchaguzi watu wapige kura kwa uhuru ...

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania

Source : THBUB | Wasiliana Nasi
 
Back
Top Bottom