A new member

Amewaaibisha kivipi sasa.. Acha wivu mkuu .. Kwani akijitangaza kuna shida gani? Unampangia cha kupost kwa ume-mnunulia vocha...

Acha wivu mkuu... Jackline embu post picha nyingine jamaa afe kabisa
Check mnavyom-call,kienyeji kabisa. Nae anakuja kiboya kabisa na miguu yake
 
Jinga wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia ukitoa namba unaungwa kwenye group la WhatsApp la members wa jf, huko kuna mambo mazuri usijepitwa bibie
 
Acha kuteseka dingi... mdada kaweka picha kiroho safi wewe usie mjua kinakuuma
 
Baada ya kuona hayo mapicha picha nimejikuta namkumbuka Husna the boss Lady. Teh teh teh.

All in all karibu mdada.
Pitia na hapa,soma. Kama una akili utajua anamaanisha nini? Na jinsi namma utakavyokumbukwa namna uliivyoingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…