A new member

A new member

Karibu, lazima upate ukaribisho wakipekee kwa style yako ya uingiaji,
 
Jf ina vituko sana siku hizi jamani
Ana uzuri gani huyu? Kama kwako anaonekana ni mzuri basi wewe utakuwa kituko...

Ndio maana bado naamani wadada wengi wa humu, kisura bado sana. Na wengi maisha yenu ya uswahilini huko tunayajua vizuri tu.
 
Unakoelekea kuna siku utasema ziwepo jf mbili kwa ajili ya wa uswahilini na ushuani.
 
Blue pia sio mbaya japo nyekundu ingekufaa zaidi, si unapendaga red saa zingine lakini Shadeeya ?
Tena na rangi yangu hii huwa zinanipendeza sana tu. Japo kikawaida huwa sizibariki sanaa 😎😎 ila ndio hivyo huwa kuna sehemu nabanwa na sina jinsi ya kuacha kuvaa hizo rangi na hapo nakuwa sina jinsi kama siku ileeee. 😜😜😜

Ila nje ya hapo.
 
ila ndio hivyo huwa kuna sehemu nabanwa na sina jinsi ya kuacha kuvaa nguo na hapo nakuwa sina jinsi kama siku ileeee. 😜
Na ile Toyota Harrier wanaita sijui tako la nyani,,,,si red ile au utasema dam ya mzee(maroon)? Red inakupendeza bana si unaona mambo yako yote yapo huko? Sijui ulipoteaje ukashbikia rangi ya njano maana inatumika sehemu mbili tu hapa nchini

1. Chama

2. Jangwani
 
Ile ni Maroon black bana sio nyekundu. Hahahaaaa. Haya bana Ses.
 
Ana uzuri gani huyu? Kama kwako anaonekana ni mzuri basi wewe utakuwa kituko...

Ndio maana bado naamani wadada wengi wa humu, kisura bado sana. Na wengi maisha yenu ya uswahilini huko tunayajua vizuri tu.

Nipo kama yeye, ndo tulivyo wanawake wote wa jf maana tunatokea kyela mbeya
 
Hahaha mpaka leo huyo jamaa namuita indutu maana aliniambia alafu nikaongea kwa nguvu mbele ya watu nikashangaa watu wananiangalia kinoma huku jamaa anacheka hana mbavu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] , mbele za watu ? Aisee uliuaaa kama nawaona wabibi Wa kinyakyusa walivyobaki midomo wazi[emoji30]
 
Back
Top Bottom