Uchaguzi 2020 A night with Tundu Lissu and Sheikh Ponda at Karatu

Uchaguzi 2020 A night with Tundu Lissu and Sheikh Ponda at Karatu

Baba Jessica huyu huyu juzi kanitumia sms ya kuomba kura wakati namba yangu anayo tangu tukitoa kopi ya ule utafiti wa korosho na hajawahi kunisalimia. Nilivyotaka kumjibu kaniblock.
😂😂😂😂😂💔
 
A memorable moment, that when he once vied for presidency he met his fellow activist Sheikh Ponda. Fortunately for him, failure is looming.
 
WaTz ni wanafki sana !!. Majuzi sheikh Alhadi Salum wa Dsm alipopanda jukwaani kuiombea Ccm na Maghufuli miaka mitano watu hawakuhoji !!. Mwezi uliopita viongozi wa dini walikusanywa Dodoma kwa nia sawa na hiyo. Watu hawakuhoji !!.

Leo kwa sababu nyumba ya kambo imepata shavu askofu Bagonza, sheikh Ponda na askofu Mwamakula . Ñyoka wote wametoka pangoni !!. Huu ni unafiki wa hali ya juu
Hata Mie Sioni kosa la Ponda, Mwamakula na Bagonza, ndio democracy kila MTU acha apende apendacho, hawaitaki CCM je ni dhambi? Mbona wapo viongozi WA dini wanaipigia Debe CCm? waache utaahira wao.
 
Nimeona masheikh ubwabwa wakiongozwa na yule Sheikh comedian sijui Kipozeo eti wamepingana na Sheikh al akbar Ponda. Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom