A real man should have class: Nilivyoshindwa kula kimasihara

A real man should have class: Nilivyoshindwa kula kimasihara

De Professor

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2021
Posts
237
Reaction score
505
Nikiri wazi kale ka uzi Pendwa ka vijana wakati mwingine kana hamasisha na unaeza kuwa mtaani na mambo yako ukikumbuka tu JF unasema eemu ngoja nitest zari.

Kwa kifupi last 2 weeks nilikua napita pita tik tok kuna mdada kiukweli ni pisi hatar nilikua namfatilia kwa week kadhaa huwa anapenda kuwa live namtext anajibu, Badae nikasema ngoja nimuibukie inbox kweli bhana kule mambo yaka tik tukawa tunachat nikakumbuka kale ka uzi nikasema ngoja nitest zari.

Eish bahati mbaya nilizifuta zile chart kuhofia wife asije kuzinasa nikaleta zengwe, ila ilikua hivi kwanza nilienda direct nikamwambia huwa namuelewa napenda sana navyomuona live tiktok hadi nimetamani kumuona live face to face afu nikamwambia huwa natamani kuchat nayeye ila tunapishana maana hatuwi online kwa muda sawa..Demu akaanza kucheka cheka kwa emoji na kusema kweli ?? Nikamkoleza akanipa namba zake then akasema sasahiv nipo Sinza nitakuwepo hadi kesho kutwa then naondoka nikapata swali kwani unaishi wapi akasema anaishi mwanza. Sasa hapo ndo machale yakanicheza Sinza? Nikamuuliza upo kwa ndungu? Akasema amefikia lodge shubaah mit hapo ndo wazo la kuchakata likakatika.

Niliwaza haya kama sasahiv nachat nae yupo lodge je kabla yangu kachat na wangapi akawapa time? Afu how comes mtu atoke mwanza hadi Dar eti bila mchongo wowote amekuja kutulia tu? Na sehemu yenyewe Sinza- kwa Mugabe nikakumbuka zile stor na hali halisi ya machangu walivyo jaa Sinza nikaona ooh huyu ni muuzaji ila ame develop anajiweka kama wakufugwa.

Aliniambia kesho niende kumtembelea, mi sikwenda afu baada ya siku 3 nikamcheki akajifanya amewaka kwanini nimemrusha sikwenda. Nikamtuliza tuliza badae akakubali ila akasema nakupiga fine nitumie cha 10 haha hapo ndo nikazidi ku concludes huyu ni muuzaji 100%.

Niwape challenges vijana wangu. Hakuna malaya anaechapwa ki masihara niwewe ndio unachapwa ki masihara, sasa mfano mimi nilitest zari nikapewa inshu nimimi ningetimba na ningepiga mzigo nikaja kusimlia huku nimepiga ki masihara kumbe nimekula malaya, na huenda ningegharimika launch ama Dinner na kibomu juu wakati wa kuondoka.
Natamani ningekua sijazifuta chart ninge screenshot muone ilivyokua.

Finally:- kuna mabinti utakula ujisifu sijui nimemkuta club au Bar au kwenye daladala nikampapasa mara tukenda chops nikala afu mwenyewe unajua ni masihara kumbe umeliwa mzee mwenzio alikua mawindoni.

So, mimi niligoma kuliwa ki masihara, najua kuna watu nawao walitaka kuletewa pigo za hivi wakashtukia na kutosea mzigo hawa sasa ndo really Men yani unaeza pewa nyapu na ukajizuia sio kila sehemu unachovya.
 
Huyo ushamkosa...bila shaka utatafuta mwingine
😁 sijamkosa ila mimi ndio simtaki hadi namba nilipewa na direction ya kumpata, ila sikuwahi mpigia yani sikutaka apate my close contacts nilipowaza ku screenshot ningewaletea humu mkaona mkapambana mkitaka ila nope wacha nifikishe ujembe tu yatosha.
 
😁 sijamkosa ila mimi ndio simtaki hadi namba nilipewa na direction ya kumpata, ila sikuwahi mpigia yani sikutaka apate my close contacts nilipowaza ku screenshot ningewaletea humu mkaona mkapambana mkitaka ila nope wacha nifikishe ujembe tu yatosha.

Maana yangu, utatafuta tu mchuchu mwingine...
 
😁 sijamkosa ila mimi ndio simtaki hadi namba nilipewa na direction ya kumpata, ila sikuwahi mpigia yani sikutaka apate my close contacts nilipowaza ku screenshot ningewaletea humu mkaona mkapambana mkitaka ila nope wacha nifikishe ujembe tu yatosha.
Ni pm namba yake mimi ndo mambo yangu hayo napenda kwelikweli
 
Sahivi moja ya vitu rahisi kupata ni sex! Ukienda kule tagged ndo unaeza kula hata malaya 20 kwa siku moja!!
 
Uoga tu na insecurities zako. Kama ungekua huna plan kabisa ya kupiga hiyo nyapu usingeenda inbox huko and usingekwepa mke wako asijue and all that.
This is more of a "sizitaki mbichi hizi" story. Kama kweli wewe ni real negro, u wouldnt start goin into girls DM's while u married. Ungemweka huyo mke wako Tik tok ili uwe unamwangalia vizuri zaidi.
The fact kwamba ulimfata huyo mams inbox n kumwambia unamfeel n ol that inakufanya wewe uwe malaya kama yeye tu. Stop judging her as if u r clean.
 
Back
Top Bottom