A real man should have class: Nilivyoshindwa kula kimasihara

A real man should have class: Nilivyoshindwa kula kimasihara

Let's base on reality.. hakuna mwanaume mwenye class inapokuja swala la pussy.. ndio maana unakuta mwamba unayedhani anamiliki pisi kali anakula dem wa ajabu kwa mtizamo wako.
Aisee huo mfano wako umeenda kushoto sana ndugu.
Kwanza kuna tofauti btn what mans want and want woman wants
Reality is you cant https://jamii.app/JFUserGuide every pussy on your way, kuna wants, na hizo ndio standard za mtu husika.
Unless huna standard ww ni mtu wa kuparamia
 
Uoga tu na insecurities zako. Kama ungekua huna plan kabisa ya kupiga hiyo nyapu usingeenda inbox huko and usingekwepa mke wako asijue and all that.
This is more of a "sizitaki mbichi hizi" story. Kama kweli wewe ni real negro, u wouldnt start goin into girls DM's while u married. Ungemweka huyo mke wako Tik tok ili uwe unamwangalia vizuri zaidi.
The fact kwamba ulimfata huyo mams inbox n kumwambia unamfeel n ol that inakufanya wewe uwe malaya kama yeye tu. Stop judging her as if u r clean.
Samahani braza kama umehisi nimekugusa moja kwa moja sikukusudia kushambulia mtu.
 
Sijaelewa ulichohofia apo,

Umemtuhumu Ni Malaya,Ila Hamna kokote ulikothibitisha madai yako ni Malaya kwny hili bandiko.

Nilichoona Apo,
Faini ya Elfu 10 Ndo imekukimbiza.

Afu Kama Ni mzoefu wa Hawa wadada, mkishazoeana anaweza kutamka kitu tu kimasihara kuboresha ukaribu wenu. Ila wewe sasa ukachukulia too serious.

Hizo ishu za kusema nakupiga fain ya Kias kadhaa ishanikuta Sana humu JF na friends Wangu wengi wa kike nnapochelewa kujibu pm zao,

Na sio kwamba Wanamaanisha serious uwalipe iyo faini yao au Wanamaanisha wanauza.

Bali Ni story TU za kuchangamsha genge maisha yaende na kamwe siwez kujudge na kuhitimisha kwamba wadada Hawa wanauza.

Wito Wangu mkuu,
Badilisha kwanza iyo negative mindset ulonayo pale unapopiga story na wadada wa mitandaoni.

Ukiiendekeza itakupa shida Sana kusocialize na watu mitandaoni, maana MDA wote utahisi unapigwa TU kumbe Ni utani wa kawaida[emoji4]

Nawasilisha[emoji120]
 
Kifupi unaogopa wanawake. Unaogopa malaya.

Hakuna faida ya kufa mzima wa afya. Jilie mema ya dunia
Heri kula manzi wa kitaa anbae walau kuna watu anawabania na walau hata kwa week au mwezi unapita hajabanduliwa kuliko kula sehemu ambayo 24/7 watu wanajipigia dah ataa huo utamu si unaisha
 
Heri kula manzi wa kitaa anbae walau kuna watu anawabania na walau hata kwa week au mwezi unapita hajabanduliwa kuliko kula sehemu ambayo 24/7 watu wanajipigia dah ataa huo utamu si unaisha

Ata hao wa kitaa wanaliwa vile vile wako ni hisia pia. Kama unataka kula cha kako lipia weka ndani ni suluhu.
 
Sijaelewa ulichohofia apo,

Umemtuhumu Ni Malaya,Ila Hamna kokote ulikothibitisha madai yako ni Malaya kwny hili bandiko.

Nilichoona Apo,
Faini ya Elfu 10 Ndo imekukimbiza.

Afu Kama Ni mzoefu wa Hawa wadada, mkishazoeana anaweza kutamka kitu tu kimasihara kuboresha ukaribu wenu. Ila wewe sasa ukachukulia too serious.

Hizo ishu za kusema nakupiga fain ya Kias kadhaa ishanikuta Sana humu JF na friends Wangu wengi wa kike nnapochelewa kujibu pm zao,

Na sio kwamba Wanamaanisha serious uwalipe iyo faini yao au Wanamaanisha wanauza.

Bali Ni story TU za kuchangamsha genge maisha yaende na kamwe siwez kujudge na kuhitimisha kwamba wadada Hawa wanauza.

Wito Wangu mkuu,
Badilisha kwanza iyo negative mindset ulonayo pale unapopiga story na wadada wa mitandaoni.

Ukiiendekeza itakupa shida Sana kusocialize na watu mitandaoni, maana MDA wote utahisi unapigwa TU kumbe Ni utani wa kawaida[emoji4]

Nawasilisha[emoji120]
Mkuu mi nimeanza kutumia mitandao ya kijamii muda kidogo nadhani fb nimejiunga 2011 miez ya mwanzoni enzi hizo ukikuta friend request ya mdada hulali 😄. Na nime socialize na wadada wengi tunacheka na kutaniana vya kutosha na wengine hata kuchat ujinga ujinga wa sex ila sio kwa huyu.
Afu nilichotaka kueleweka ni kwamba kuna wadada wapo Tiktok kama sehemu ya kazini mimi ni mtu mzima naelewa ama nikitaka kukuonesha nina uhakika na hiki naeza kuendeleza conversation nae afu mwisho wa siku utaniambia kama sio elfu 10 sio tabu mbona inbox tunapigwa vibomu sana na best zetu wa kike na nisawa.
Itoshe kusema mi silazimishi uniamini au ukubaliane na uzi wangu.
 
Mkuu mi nimeanza kutumia mitandao ya kijamii muda kidogo nadhani fb nimejiunga 2011 miez ya mwanzoni enzi hizo ukikuta friend request ya mdada hulali [emoji1]. Na nime socialize na wadada wengi tunacheka na kutaniana vya kutosha na wengine hata kuchat ujinga ujinga wa sex ila sio kwa huyu.
Afu nilichotaka kueleweka ni kwamba kuna wadada wapo Tiktok kama sehemu ya kazini mimi ni mtu mzima naelewa ama nikitaka kukuonesha nina uhakika na hiki naeza kuendeleza conversation nae afu mwisho wa siku utaniambia kama sio elfu 10 sio tabu mbona inbox tunapigwa vibomu sana na best zetu wa kike na nisawa.
Itoshe kusema mi silazimishi uniamini au ukubaliane na uzi wangu.
Mi Nadhan ungempa TU iyo elfu 10,
Ukaenda ukaonana nae, Kisha Ndo ungekuja na full package Ni jins gan anajiuza.

Sasa mtu hata ujakutana nae,
Akakwambia anajiuza kwa Bei gan, ukapata mawili matatu kutoka kwake.

Unakuja vipi speed kuhitimisha kua anajiuza?

Vipi je Kama nae alishakupenda anataka uje kua mme wake?
 
H

ahahaha..dah! Hoja yako ina mashiko ila hapana haiwezekani
 
Kwa msaada wa mkongo labda ila natural kwa Sasa hata ukipewa 4,, uwezekano wa kukuzika Ni mkubwa,, sex inapatikana kirahisi ndio ila uzuri hata nguvu hizo hamnazo,
You must have done some good research. I wonder how large your sample size was!
 
Hao wa hivyo wengi tu hizo ni pigo za Badoo unamuuliza anakwambia yupo location , lodge ...na hii trick mademu wengi wanatumia kwa sasa kujua yupi anajiuza na yupi hajiuzi kazi ipo ....kikubwa ni kuvaa ndom tu na hakikisha mfuko WAKO uko vizuri

sent from HUAWEI
 
Sawa chat umefuta. Usije kutuambia na namba umefuta kwan tunazihitaji sana! Tupe namba sisi tukulee namna atakavyoliwa kimasihara na Umalaya wake ivyo ivyo bila kuambulia hata 100
 
Sawa chat umefuta. Usije kutuambia na namba umefuta kwan tunazihitaji sana! Tupe namba sisi tukulee namna atakavyoliwa kimasihara na Umalaya wake ivyo ivyo bila kuambulia hata 100
Namba siku save maana alinitumia nikiwa nishajua huyu sio so sikuizingatia kusave wakat na delete conversations nayo ikaenda ila hata nisingefuta dah sidhani kama ningei display public maana isingekua poa
 
Back
Top Bottom