A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

Tulia dada huko daslam mmelegea sana huko daslam alijitokeza mtu anaitwa scorpion akamtoboa mtu macho hadharani lakin hakuna msaada wowote alioupata huyo mtobolewa macho sasa ndo ajitokeze mtu na shortgun mtamfanya nini?
Scorpion hakuwa shida na mtu alimtoboa macho mfadhili wa vibaka.scorpion alikuwa kama askari Jamii.Soon atarudi kitaa.
Scorpion hakuwa kibaka.
 
JUSTIN NYARI,tushawahi kwenda ofisini kwake kitambo sana tulimpelekea rhodelite aliwaka sana,pesa sasa ikawa mtihani
Akataka tumwachie mzigo,alikuwa dhuluma
Anaweza kupa hela na badaye akakutumia watu wakupore wanarudisha kwake...
Nakumbuka tulipotoka ofisini kwake watu tulinyoosha Nairobi moja kwa moja....
Alibaki nyuma kablow tu

Ova
Hii ndo ilikuwa michezo ya matajiri wengi wa moshi wengi wametajirika kwa damu mtu ananuka damu ananunua mabus anaandika maneno ya Mungu kujifanya mtakatifu.
 
Uhalifu wa Arusha wa kulaumiwa ni ngunguli ye ndo alikuwa mlezi wa uovu ule. Ashukuriwe baba yake Tunda ndo aliwamaliza Arusha ikawa shwali.
Yule mzee hovyo kabisa kwenye Jamii. Ndie aliyewafanya wapemba wakawa wakimbizi kwa kuisaidia chakavu isizame.
Ngunguli ndo aliekua PGO mkubwa kipindi cha WBM?
 
Hii ndo ilikuwa michezo ya matajiri wengi wa moshi wengi wametajirika kwa damu mtu ananuka damu ananunua mabus anaandika maneno ya Mungu kujifanya mtakatifu.
Eh dhuluma sana
Imewakaa sana ndomana mwisho
Wao mmbayaa

Ova
 
Hii ndo ilikuwa michezo ya matajiri wengi wa moshi wengi wametajirika kwa damu mtu ananuka damu ananunua mabus anaandika maneno ya Mungu kujifanya mtakatifu.
Wakina sembeki tena

Ova
 
Eh dhuluma sana
Imewakaa sana ndomana mwisho
Wao mmbayaa

Ova
Wameua watu sana.mtu akiwapeleka madini anapewa pesa,kisha wanatuma vikosi vyao vinamua na kumpora pesa kabla ajaondoka. Halafu yanajifanya wacha Mungu
 
Wameua watu sana.mtu akiwapeleka madini anapewa pesa,kisha wanatuma vikosi vyao vinamua na kumpora pesa kabla ajaondoka. Halafu yanajifanya wacha Mungu
Watu wa ajabu sana
Na mpaka leo bado wana style hizo
Huko dhuluma dhuluma

Ova
 
Huyo Nyari advocate afai kabisa damu tupu za watu.Ndie alikuwa wakili wa majambazi Arusha. Dhuluma tupu.
 
Scorpion hakuwa shida na mtu alimtoboa macho mfadhili wa vibaka.scorpion alikuwa kama askari Jamii.Soon atarudi kitaa.
Scorpion hakuwa kibaka.
Nlishasemaga hiyo
Issue ya scorpion watu walikuwa na mihemuko
Wangeuliza historia ya yule aliyetobolewa macho ndy wangejuaaa

Ova
 
Wanaamini wao ndo wenye shida ya pesa.Halafu kwa kujifanya wasamaria wema kushindana makanisani kutoa michango hawajambo.
Hata Erasto msuya alivuna alichopanda,ukiua kwa upanga utaondoka kwa upanga.
KUNA MMJA NAYE JINA KAPUNI ALINIDHULUMUGI,ANATOKEA PANDE HIZO
HIZO ILA OFISI YAKE ILIKUWA DAR,ALIKUA ANASALI PENTAKOST CHURCH ALAFU FAZA CHURCH
NLITUWATUMIA PIRA OLA.....NLIENDA HADI KWA MKUU WAO WA KANISA SMBDY TIBA,SUMBUA SANA MPAKA AKASALIMU AMRI
NLIMWQMBIA WEE HUWEZ KUNIPIGA KIFALA
MM NSHAPIGANA VITA VYA ARDHIN NA ANGANI MZEE UTAONA....ALINIPA CHANGU
SAHV ANA MWAKA WA 5 ANA STROKE SASA MAGONJWA

ova
 
Huyo dreva taxi wa kuitwa Martin alikuwa anatumia njia gani ya mawasiliano kuwapa "codes" manyamera wakiwa porini? Kulikuwa na simu za mikononi miaka hiyo?

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Hizo kesi alizosimulia za Justin Nyari enzi za RPC kamanda James Kombe ni za mwaka 2000 kuendelea, kwahiyo simu za mikononi zilikuwepo. Wakili mhusika hapo ni Medium Mwale. Sijui mleta mada anaogopa nini kuwataja majina wakati ishu zao zinajulikana waziwazi na magazeti mengi yaliandika sana tu.
 
KUNA MMJA NAYE JINA KAPUNI ALINIDHULUMUGI,ANATOKEA PANDE HIZO
HIZO ILA OFISI YAKE ILIKUWA DAR,ALIKUA ANASALI PENTAKOST CHURCH ALAFU FAZA CHURCH
NLITUWATUMIA PIRA OLA.....NLIENDA HADI KWA MKUU WAO WA KANISA SMBDY TIBA,SUMBUA SANA MPAKA AKASALIMU AMRI
NLIMWQMBIA WEE HUWEZ KUNIPIGA KIFALA
MM NSHAPIGANA VITA VYA ARDHIN NA ANGANI MZEE UTAONA....ALINIPA CHANGU
SAHV ANA MWAKA WA 5 ANA STROKE SASA MAGONJWA

ova
Ulaya zama za ushenzi ilikuwa ukimdhulumu mtu anakusaka kimya kimya anakupiga bullets ilisaidia sana kujenga uaminifu.watu waliogopa kuzulumu wenzao kwa kuogopa kifo.
So hata wao Ingekuwa wanakula bullets upumbavu wao wangeacha kabisa.
Kisasi ndio njia sahihi ya kuishape Jamii Ili itende haki.
 
Back
Top Bottom