Huu uzi usingekamilika bila kuliona jina la Kingkola, Wayamkali FC walikuwa kila siku wanashinda sababu ya ubabe 😄Kwenye simulizi yako umeweka too general ngoja na mimi nielezee kwa ufahamu wangu kuhusu chuga gangsters:
Sadick Mkindi ni legend mtoto wa mzee Mkindi familia maarufu na tajiri Arusha huyo ni mdingi alifanya uhalifu in late 80’s na early 90’s
Majambazi walikuwa kina Chonjo maarufu kwa wizi wa magari, Bob Sambeke, Alex Massawe, Nyari....
Ila kuna hawa magangster wezi na wababe wa mitaani
Alikuwepo Hamis Mtotoo alikuwa anaibia sana wazungu aliuliwa na polisi relini watoto wa Pangani na Bondeni tunamjua vizuri.
Alikuwepo nyokaa alikuwa mwizi hatari katesa sana mianzini, sakina, ilboru na sanawari aliuliwa na polisi sakina
Alikuwepo Tumboniiii alitesa ngulelo, kimandolu kijenge nafkir na yeye aliuliwa na polisi ngulelo
Ngarenaro alikuwepo Mbalulaa alikuwa na mbio hatari akikwapua humshiki
Kuna kundi la wababe hawa hawakuwa wezi ila wababe hatari waliwakosesha raha watu sehemu za starehe kama mawingu club kijenge,roasters garden uzunguni, crystal club, metropole, sabasaba nk miaka ya mwishoni 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000
1. Iddi Mkuluuu (RIP) na kundi lake la Kaloleni gym,huyu bro alikuwa baunsa bonge la mtu mbabe hatari
2. Farijala Athumani(Papaaa) mtoto wa Ngarenaro bdae kijenge alikuwa anapiga kick boxer hatari alikuwa akikupiga kichwa lazima uanguke aliuliwa kwa kuchinjwa pale mtaa wa Jaluo
3.Fredi Jebi na Kabelo walikuwa watoto wa line police fire wababe walikuwa wanapiga gujuruu sio za nchi hii waliwatesa mno watoto wa kishua mjini kina Soican, Yusuph Mirambo, Valee Tango, Alkesh etc. Fredi Jebi alikufa kifo cha ajabu mguu uliota tende na ndio ukawa mwisho wa ubabe wa Kabelo
4.Baba Kisioki “babaaa” alkuwaga bondia na mbabe huko sinoni, lemara, njiro na kijenge ckumbuki nini kilimuua
5.Kingkola alikuwa mbabe hatari alikuwa anchezea timu ya Ngarenaro inaitwa “wayamkali” mpira hauishi kama kingkola hajapiga tiktatka
Wengine ni kina Omary manjiwaa, sele kishugaa pia kulkuwa na dogo aliitwa Regaa au Julius mambwaa alikuwa kapurwa lkn mbabe hatari alikuwa anatembea na mbwa zaidi ya 20.
Makundi maarufu yalikuwepo ka Kossovo chini ya Festo watoto wa Kambi ya fisi, maghoro na makao. Nako2Nako watoto wa kaloleni “Ololoo”, wakudisi watoto wa bongonyoo na Ungaltd kulikuwa na watoto wa blood ring Esso, watoto wa cheka ung’atwe Sombetini. kuna watoto wa Sing’isi walikuwa wanakaa sana tengeru walikuwa ni kwikwi tesa sana watu waliokuwa wnaenda beach party Duluti
Siku hizi haya magenge yamekufa ila waliobaki hatari ni vijana wa “tatu mzuka” wako kokote omba Mungu usikutane nao
Wengi wamekufa na waliopo wamekimbilia ccm na kwenye diniKwa sasa hivi wako wapi? wapelekwe kuisaidia ukraine.
hii stori kama niliwahi kuhadithiwa huyo jamaa alisumbua sana enzi ya nyerere alikamatwa mamboleo - muheza kama sikoseiMiaka ya 80 kuna jambazi aliitwa Nyau, katika mazindiko yake alilishwa moyo wa paka. Akikurukia shingoni alikataa na kurarua kama paka. Huyu jamabazi aliteleza mikononi kwa PGO kama nyoka anavyoteleza mikononi mwa mwanadamu.
Alikua na hirizi hiyo akiivaa risasi zilikua zinapita bila kumdhuru. Alikinukisha Dar na kwenda kujificha Tanga vijijini huko kwa wakwe zake.
Aliuzwa na mke wake, mke wake alikula dili na wajomba kuwa akiwasaidia kumkamata yeye hatakua na hatia. Aliwaambia akiwa amevaa hirizi yake hamuwezi kumkamata.
Basi bwana alikaa ndani muda wote, kuna siku mke wake alimwambia si aende nje akapate fresh air, jamaa alitaka kuvaa hirizi mkewe alimwambia unavaa ya nini si unaemda hapo tu. Kumbe nje wajomba wamezunguka nyumba usawa wa vichaka.
Nyau alikamatwa kizembe sana bila hirizi yake.
Alimuuza kibaka mmoja baada ya kushindwa kwenye kumuuzia mzigo wa uwizi halafu akamchoma kwa police...jamaa akamuitia dili lingine halafu akamkatakata na panga mojaa akalazwa icu kidogo afeMwaka juzi nadhani, alienda kuleta vurugu kwa watu kwa kigezo cha upolisi (mtaa wa jaluo chini pembeni ya mtoni). Wakamkata panga sema hakufa
Alimpiga msambaa mwenzakeAlitoka tende la mguu baada ya kumpiga mzee wa kisambaa wakamyang’anya baiskeli
Mali za kutosha hata dar ana ghorofa kubwa mbili moja hapo chini ya airtel HQ...arusha anahotel ya kitalii inaitwa onsea,apartment za kutosha burka,share kampuni za uwindaji na mahotelAlikua na mali nyingi?
Alex alikimbizwa kitambo kwa kesi ya mauaji...meko hata ndoto ya ikulu hakua nayo enzi ya jk awamu yake ya kwanzaNdo maana magu aliyashughulikia sana haya majizi mengine yakakimbia nchi kina Alex massawe,kigumu,na mapapaa mengi yalikuwa majizi na matapeli thus hayakuwa na uchungu wa kuchezea pesa zao.
Yameharibu Sana sifa za watanzania kimataifa leo atupati dili sababu yao wanaamini watz wote ni wezi. Wazungu na wageni wamelizwa Sana na mapapaa na majizi kwa kuwaaminisha uwekezaji kwenye madini kwamba Wana migodi au watawapa madini wameingia mkataba baada ya kupata tu pesa yanaingia mitini au yanalobby na watu wa serikali wanafanyiwa mizengwe wanatapeliwa pesa zao. yamewatapeli Sana wawekezaji.
wanawake wanapenda wanaume wakorofi, wanaowatesa na kuwanyanyasa... wanapenda wanaume malaya na wahuni yaani kwa kifupi wanawake wanapenda sana kuteswa na mwanaumeWatoto wa kike sjui kwann wanapendaga bad boys
Kuna bad boy mmoja Arusha Tech aliwah miliki watoto wawili wazuriiii kinyama toka dsm na ajabu mademu hao walkuwa marafik lakin jamaa alikuwa anawamega wote
Jamaa alkuwa mtu wa sigara,mibangi na pombe,kwenye magorofa ya ATC alikuwa ana chumba anaishi peke yake afu chumba kichafu balaa,akiwemo ndani muda wote ni mimoshi,nilkuwa natafakar sana wale madem waliwezaje kumvumilia ingawaje jamaa alikuwa handsome na ushombe shombe
Apollo wakimpelekea mawe anatoa ofa kibabe na mtamuuzia...sema alikua anawafanyia wachimbaji wa tanzaniteone mana anajua hawana ujanja kwake mana alikua anawafadhili kipesaEarsto Msuya na yeye alikuwa dhulumati muuaji?
Huyo nyokaa alikua ni balaaMimi nawafahamu hawa.....
Babu nyauu wa Ilboru
Chichkoo wa Kaloleni
Tobii wa watengwa
Umbwa lotuno
Marehemu Nyokaa wa Silent In
Mbadii wa Sanawari
Machokodo wa Namanga-Arusha
Maikoo wa Mtaa wa mavi pale mianzini
Chonjo wa Kijenge juu
Marehemu Kitunguu wa Ngulelo
Hussein Tumbo wa Kaloleni
Na Madingii wengine....! [emoji23][emoji23]
Naona sahv mapapa wanarudiNdo maana magu aliyashughulikia sana haya majizi mengine yakakimbia nchi kina Alex massawe,kigumu,na mapapaa mengi yalikuwa majizi na matapeli thus hayakuwa na uchungu wa kuchezea pesa zao.
Yameharibu Sana sifa za watanzania kimataifa leo atupati dili sababu yao wanaamini watz wote ni wezi. Wazungu na wageni wamelizwa Sana na mapapaa na majizi kwa kuwaaminisha uwekezaji kwenye madini kwamba Wana migodi au watawapa madini wameingia mkataba baada ya kupata tu pesa yanaingia mitini au yanalobby na watu wa serikali wanafanyiwa mizengwe wanatapeliwa pesa zao. yamewatapeli Sana wawekezaji.
Lakini hakuwa muuaji?Apollo wakimpelekea mawe anatoa ofa kibabe na mtamuuzia...sema alikua anawafanyia wachimbaji wa tanzaniteone mana anajua hawana ujanja kwake mana alikua anawafadhili kipesa
Ninasikia waliona US $ za Mzungu, Mzungu aliomba kuonana na Rais akamueleza kwa masikitiko. Ndipo IGP alipewa muda maalum kukamilisha zoezi.hii stori kama niliwahi kuhadithiwa huyo jamaa alisumbua sana enzi ya nyerere alikamatwa mamboleo - muheza kama sikosei
Simu zilikuwepo. Mimi mwenyewe wakati naanza Form Five mwaka 2000 pale Makongo JKT nilikua namiliki Simu ya siemens C25Huyo dreva taxi wa kuitwa Martin alikuwa anatumia njia gani ya mawasiliano kuwapa "codes" manyamera wakiwa porini? Kulikuwa na simu za mikononi miaka hiyo?
Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Sasa pesa zimetoka nje ya nchi baada ya madini kupelekwa nje ya nchi, ama huelewi niniKuna vitu umeongea vya uwongo sana chusa hajawahi kua kibaka au nyamera,mwale hajawahi kuua mtu wa karibu wa nyari zaidi ya kua mwanasheria wake alipopata kesi...kesi ya mwale ni pesa zilitoka nje ya nchi na kuingia kwenye acc yake.
Banjoi hajawahi kua muajiriwa wa tanzaniteone kaja mererani 2013 kuzama kwenye mgodi wa manjulu.
Moja ni fala tu wala hana ujanja zaidi ya huko mtaani kwao daraja mbili
Wapigaji si watu wa matumizi,pesa wanatoa sanaWatoto wa kike sjui kwann wanapendaga bad boys
Kuna bad boy mmoja Arusha Tech aliwah miliki watoto wawili wazuriiii kinyama toka dsm na ajabu mademu hao walkuwa marafik lakin jamaa alikuwa anawamega wote
Jamaa alkuwa mtu wa sigara,mibangi na pombe,kwenye magorofa ya ATC alikuwa ana chumba anaishi peke yake afu chumba kichafu balaa,akiwemo ndani muda wote ni mimoshi,nilkuwa natafakar sana wale madem waliwezaje kumvumilia ingawaje jamaa alikuwa handsome na ushombe shombe
🤣🤣🤣Miaka ya 80 kuna jambazi aliitwa Nyau, katika mazindiko yake alilishwa moyo wa paka. Akikurukia shingoni alikaba na kurarua kama paka. Huyu jamabazi aliteleza mikononi kwa PGO kama nyoka anavyoteleza mikononi mwa mwanadamu.
Alikua na hirizi hiyo akiivaa risasi zilikua zinapita bila kumdhuru. Alikinukisha Dar na kwenda kujificha Tanga vijijini huko kwa wakwe zake.
Aliuzwa na mke wake, mke wake alikula dili na wajomba kuwa akiwasaidia kumkamata yeye hatakua na hatia. Aliwaambia akiwa amevaa hirizi yake hamuwezi kumkamata.
Basi bwana alikaa ndani muda wote, kuna siku mke wake alimwambia si aende nje akapate fresh air, jamaa alitaka kuvaa hirizi mkewe alimwambia unavaa ya nini si unaemda hapo tu. Kumbe nje wajomba wamezunguka nyumba usawa wa vichaka.
Nyau alikamatwa kizembe sana bila hirizi yake.