A woman to marry is needed

A woman to marry is needed

😂😂 awe mzeee au kijana, ukimuonyesha short cut way yako ya vilele mbona utafika tu
🤔🤔🤔🤔Hivi kumbe wanajuaga short cut na wao sasa ilikuaje wao kuambiwa kimoja Chali na usingizi
 
Wanaume wote vikao vyetu tushaamua kugoma kuoa 😂😂tumeambiwa titafute hela matumizi baadae
Tutekeleze maandiko aisee
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

ISAYA 4​

1.Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
 
🤔🤔🤔🤔Makaka wa Yesu tupo tunakiti chetu mbinguni
 
Sawa tumejua ilanamba nane humu sijui ,ila unaweza kumtunza mie na SITA ila wengi humu wanataka kuolewa sio kuoa wanasema hapa tu hivyo
 
yaani mtu unazungumzia HELA,unawezaje kunipa nmimi ninaye cheza na PESA,usitengeneze mazingira yakufanya unamjua sana mtu wewe,
Ahahahaa wewe wengi wahumu wanaosema wanataka kuoa niwanataka wamama wakuwalea fool stop
 
Ahahahaa wewe wengi wahumu wanaosema wanataka kuoa niwanataka wamama wakuwalea fool stop
Mimi nimesema nataka mke sio mmama,sasa mimi mmama nampeleka wapiwakati homoni zimeanza kushuka ubora nani awe na gogo ndani,raha ya mke awe mbichimbichi wewe,Hata mama yangu mzazi hajawahi kunilea japo ni wajibu wake ndio aje anilee mmama kupitia mapenzi?,over my dead body
 
Back
Top Bottom