EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kabisa aisee wakiwa kwenye prime time wana maringoo wakianza kufika 25+ wanaanza kulegeza masharti 🤣 🤣 🤣😂😂😂😂Utaambiwa umri namba mvi fashion mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aisee wakiwa kwenye prime time wana maringoo wakianza kufika 25+ wanaanza kulegeza masharti 🤣 🤣 🤣😂😂😂😂Utaambiwa umri namba mvi fashion mzee
Thubutuuuuuuu, unaachaje dusheee ukawe nun?Mie ni nun 😂😂😂😂
Wanaume wote vikao vyetu tushaamua kugoma kuoa 😂😂tumeambiwa titafute hela matumizi baadaeKabisa aisee wakiwa kwenye prime time wana maringoo wakianza kufika 25+ wanaanza kulegeza masharti 🤣 🤣 🤣
🤔🤔🤔🤔Hivi kumbe wanajuaga short cut na wao sasa ilikuaje wao kuambiwa kimoja Chali na usingizi😂😂 awe mzeee au kijana, ukimuonyesha short cut way yako ya vilele mbona utafika tu
Tutekeleze maandiko aiseeWanaume wote vikao vyetu tushaamua kugoma kuoa 😂😂tumeambiwa titafute hela matumizi baadae
🤔🤔🤔🤔Makaka wa Yesu tupo tunakiti chetu mbinguniTutekeleze maandiko aisee
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
ISAYA 4
1.Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Mzigua90 una kwama dada! 😅mzigua most wanted
😂😂Wanyakyusa tumekukosea nini mkuu 😀
Hamja nikosea kitu nadhani ni uoga kutokana na niliyoyaona kuhusu wao hasa katika ndoaWanyakyusa tumekukosea nini mkuu 😀
Umeona nini mkuu?, usione sana ya wengine, tabia ya mtu mmoja ni tofauti na mtu mwingine, na kabila la mtu halimaanishi atakua na tabia hizo sana, oa mnyakyusa hutojutia [emoji3][emoji2088]Hamja nikosea kitu nadhani ni uoga kutokana na niliyoyaona kuhusu wao hasa katika ndoa
Unajisemea ama unawasemea?Umeona nini mkuu?, usione sana ya wengine, tabia ya mtu mmoja ni tofauti na mtu mwingine, na kabila la mtu halimaanishi atakua na tabia hizo sana, oa mnyakyusa hutojutia [emoji3][emoji2088]
NINI MAANA YA KUOA,NINI MAANA YA KUOLEWA,NINI MAANA YA KUOANA?Sawa tumejua ilanamba nane humu sijui ,ila unaweza kumtunza mie na SITA ila wengi humu wanataka kuolewa sio kuoa wanasema hapa tu hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23]Unataka umbo namba 8 halafu hutaki wanyakyusa, una tatizo mahali wewe.
Mnataka kuolewa Sasa sisi hatuwezi kuwapa mzigo na tutoe hela poleNINI MAANA YA KUOA,NINI MAANA YA KUOLEWA,NINI MAANA YA KUOANA?
Hujajibu swaliMnataka kuolewa Sasa sisi hatuwezi kuwapa mzigo na tutoe hela pole
yaani mtu unazungumzia HELA,unawezaje kunipa nmimi ninaye cheza na PESA,usitengeneze mazingira yakufanya unamjua sana mtu wewe,Mnataka kuolewa Sasa sisi hatuwezi kuwapa mzigo na tutoe hela pole
Ahahahaa wewe wengi wahumu wanaosema wanataka kuoa niwanataka wamama wakuwalea fool stopyaani mtu unazungumzia HELA,unawezaje kunipa nmimi ninaye cheza na PESA,usitengeneze mazingira yakufanya unamjua sana mtu wewe,
Mimi nimesema nataka mke sio mmama,sasa mimi mmama nampeleka wapiwakati homoni zimeanza kushuka ubora nani awe na gogo ndani,raha ya mke awe mbichimbichi wewe,Hata mama yangu mzazi hajawahi kunilea japo ni wajibu wake ndio aje anilee mmama kupitia mapenzi?,over my dead bodyAhahahaa wewe wengi wahumu wanaosema wanataka kuoa niwanataka wamama wakuwalea fool stop