Njooni kwangu,mimi sibagui wala sichagui,Tusio na akili wala hiyo sura tufanyeje sasa🥹
Ata miguu tu freshy siohuwezi kosa vyote
We ndio wale zoazoa sio😐Njooni kwangu,mimi sibagui wala sichagui,
Akili tutatumia zangu.
Ndio hamnazo sasa itakuwaje!hapo kwenye akili ndio kipengele cha muhimu
kwenye 100 utakuta wa 5There's exception in this, sio kila mwanamke mwenye sura nzuri na makalio makubwa ni hamnazo.
Wapo wanawake wengi Sana ambao ni full package kuanzia mionekano mpaka kichwani wapo smart.
Hata hapa JF wapo hebu acheni kupotosha
Nimeshakwambia kote sipo! Mbona hunipi options unanibana tu..utakuwa good for a night
The Icebreaker analo jibu la swali lako.Nimeshakwambia kote sipo! Mbona hunipi options unanibana tu..
Mkuu inaonekana huna exposure,hebu tembea huko nje uone jinsi wanawake wanavyofanya mambo makubwakwenye 100 utakuta 5
📌🔨Ni kweli kabisa muda mwingi wa maisha yenu utahitaji zaidi akili yake na muda mchache sana utahitaji mwili wake,,,,na kuna tafiti za kisayansi zinazosema akili za watoto wanarithi zaidi kwa mama,,,ukioa mrembo bila akili mtakua na watoto wanaofanya hovyo darasani.