Hahahaaa. Lol.Tupo hapa tunazeekea kwa wazazi wetu!
Mbingu mbona nishakabidhiwa...Wee sema kweli?????!
Kama hivo ukienda mbinguni nimekaa paleeee 👉👉👉😁!
mtoa mada atuonyeshe picha ya mwanamke mwenye umbo lake kwa faida ya membersA woman with a beautiful body and face is good for a night, but a woman with a beautiful mind is good for a lifetime
Mleta mada anataka akili za mwanamke na siyo mwili mzuri...
Akili tuachiwe sisi wanaume...
Temea chini mkuu. Sura na akili ni kudra na baraka za Maulana.huwezi kosa vyote
Mkaka kikubwa kupumua, hilo ndio la msingi, hayo mengine ubatili tu 😎Tusio na akili wala hiyo sura tufanyeje sasa🥹
hahahaMkaka kikubwa kupumua, hilo ndio la msingi, hayo mengine ubatili tu 😎
View attachment 3539242
Bahati mbaya mimi ni mbeba box,ningekua huko ningekupitia tu.Ujue nimepaliwa sheinzz😂😂😂
Sawa zoazoa uko uje unipitie hapa..
Sawa dada wa miziki! Unipe basi kale kadogo kako nikawowe🤓Mkaka kikubwa kupumua, hilo ndio la msingi, hayo mengine ubatili tu 😎
View attachment 3539242
We nipitie hivoivo achana na mabox kwanza😎Bahati mbaya mimi ni mbeba box,ningekua huko ningekupitia tu.
How do u know that🙄😄uwowe mwanamke mwenzio how came?
Hahahaaa. Kwa kweeli japo mleta uzi anadai hakuna aliyekosa vyote eti.