Ndoanamaanisha nini love???
Ungefanya utafiti wa kutosha kabla ya kukurupuka na kuleta Uzi.View attachment 3539228
wewe ndio huna exposure
MImi ndio yale magari yasiyochagua njia,We ndio wale zoazoa sio😐
Hujafanya research yoyote hapa umekurupuka tu baada ya kushiba ugali dagaaView attachment 3539231
unaendelea kufanya kosa hilohilo unauhakika gani kwamba sjafanya research
Ujue nimepaliwa sheinzz😂😂😂MImi ndio yale magari yasiyochagua njia,
Mkulima hachagui Jembe akichagua huyo ni mzembe.
Wee sema kweli?????!A woman with a beautiful body and face is good for a night, but a woman with a beautiful mind is good for a lifetime
Mleta mada anataka akili za mwanamke na siyo mwili mzuri...
Akili tuachiwe sisi wanaume...
Tupo hapa tunazeekea kwa wazazi wetu!Mkuu inakuwaje kwa ambao wamekosa vyote?
Unakila kitu hujakosa kitu..