Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Mwenye Kupenda Haoni, Chongo Atasema KengezaTusio na akili wala hiyo sura tufanyeje sasaš„¹
Mwenye Kupenda Haoni, Chongo Atasema KengezaTusio na akili wala hiyo sura tufanyeje sasaš„¹
Anaweza nunua kila kitu na bado akabaki na akili mbovu tuMkuu inaonekana huna exposure,hebu tembea huko nje uone jinsi wanawake wanavyofanya mambo makubwa
Siku hizi wanawake wananunua viwanja kwa pesa zao wanaamsha mijengo( apartments)ya maana sana
Umepaliwa na nini tena?Ujue nimepaliwa sheinzzššš
Sawa zoazoa uko uje unipitie hapa..
Am bišBinti sayuni
Na majišUmepaliwa na nini tena?
Sema kweliiššMwenye Kupenda Haoni, Chongo Atasema Kengeza
We umeona ninš¤Bisexuality ama?
š š Bro kaka unataka kunitesea kadogo kanguu eeeh.. anyway unashilingi ngapi nikupigie pande na upo tayari kutoa mahali ya mang'ombe mangapiSawa dada wa miziki! Unipe basi kale kadogo kako nikawoweš¤
Vipi kaka gangsta šš
Siwezi kukatesa ninapenda mimi acha kabisa, kana rangi gani kwanza niweze kusema idadi na mangāombe si unajua wasukumašš š Bro kaka unataka kunitesea kadogo kanguu eeeh.. anyway unashilingi ngapi nikupigie pande na upo tayari kutoa mahali ya mang'ombe mangapi
Mbana madam wako O. Shao anasura, beautiful body na akili?Kaaaazi kweli kweli
š š Kale kana color kama ya Maria T Sarungi .. sema neno sasaa mkaka mwenye six park na hela zake..Siwezi kukatesa ninapenda mimi acha kabisa, kana rangi gani kwanza niweze kusema idadi na mangāombe si unajua wasukumaš
Bro kaka, acha kutuwatishaaa ššAm biš
Umetumia muda gani kufanya huu utafiti na umefanyia wapi?ukiweka sample ya wanawake 100 wazuri wa umbo na sura ukawafanyia IQ test 5 tu ndio utakuta wana akili sawasawa.
Umejipakulia minyama vizuriThere's exception in this, sio kila mwanamke mwenye sura nzuri na makalio makubwa ni hamnazo.
Wapo wanawake wengi Sana ambao ni full package kuanzia mionekano mpaka kichwani wapo smart.
Hata hapa JF wapo hebu acheni kupotosha
Nina six packs mimi sio six park sio national reserve hiiš ongea na hawa wajomba kwanzaš š Kale kana color kama ya Maria T Sarungi .. sema neno sasaa mkaka mwenye six park na hela zake..