A woman with beautiful body and face is good for a night but a woman with beautiful mind is good for a life time

A woman with beautiful body and face is good for a night but a woman with beautiful mind is good for a life time

Wee niache🤣
Screenshot_20260204-211132.png
 
There's exception in this, sio kila mwanamke mwenye sura nzuri na makalio makubwa ni hamnazo.
Wapo wanawake wengi Sana ambao ni full package kuanzia mionekano mpaka kichwani wapo smart.

Hata hapa JF wapo hebu acheni kupotosha
na kinyume chake, sio kila mwanamke asiye na shape kichwani ni smart, wengine ni mzigo kila idara
 
We mshenzi unanichekesha unajua😂
Kachanikeje nna kitunguu🤓 hebu tulia nipate jiko mapema! Kaandae valentine nataka tuwe wote nina zawadi yake..
😻😻 hayo ndio maneno sasa shemu darling ndio maana nakupenda mkaka mzuri, ila katarudi kulala home sio kwako 🙈.
 
Back
Top Bottom