A woman with beautiful body and face is good for a night but a woman with beautiful mind is good for a life time

There's exception in this, sio kila mwanamke mwenye sura nzuri na makalio makubwa ni hamnazo.
Wapo wanawake wengi Sana ambao ni full package kuanzia mionekano mpaka kichwani wapo smart.

Hata hapa JF wapo hebu acheni kupotosha
 
Ni kweli kabisa muda mwingi wa maisha yenu utahitaji zaidi akili yake na muda mchache sana utahitaji mwili wake,,,,na kuna tafiti za kisayansi zinazosema akili za watoto wanarithi zaidi kwa mama,,,ukioa mrembo bila akili mtakua na watoto wanaofanya hovyo darasani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…