Utapigwa risasi ya tako, shauri yako!Kama yuko mbali 'plan B' sipo mbali.
Nimekaribia mpendwa, eeenhe nijuze sasa yaliyonipita!Karibu tena jukwaani tulikumissss 😁
Wapo freshSawa, mama watoto na katoto wazima?
I'm glad 😊🙏Wapo fresh
Utapigwa risasi ya tako, shauri yako!
I'm glad 😊🙏
Raha zinaweza kukunogea.View attachment 3537810View attachment 3537809
Baada ya kula raha, my arsenal will ready as well. Lazima Jiwe mkao wa kujilinda.
kitotochaMama kuna mtu anakutekenya?
Mangiii, kwani hii ni nyuzi kuhusu magonjwa?Niwa kumbushe tu ,UKIMWI bado upo na una ua kawa kawaida ,75 % ya vifo vya wamatumbi wengi wao ni wa athirika, huko kwenye misiba hawawezi taja chanzo
Mangiii, kwani hii ni nyuzi kuhusu magonjwa?
Na hizo takwimu za 75% umezitoa wapi?
Hamna nakumbushia tu , naona serikali haitilii mkazo kuhusu UKIMWI tena .Mangiii, kwani hii ni nyuzi kuhusu magonjwa?
Na hizo takwimu za 75% umezitoa wapi?
Labda wameona mambo yenu wawaachie wenyewe 😂Hamna nakumbushia tu , naona serikali haitilii mkazo kuhusu UKIMWI tena.
Taarifa bila takwmu ni opinion au uzushi tu bwasheee!Hizi takwimu hauwezi kupata popote zinafichwa vibaya sana , watu wanakula njugu mawe kama njiwa manga.
Mbona ni ndogo sana kama Kuna mwanaume kashindwa kufika hapo basi mnakila sababu yakulalamikaCha kwanza sekunde kadhaa,cha pili angalau kuanzia dakika 10!
Mpare una nini lakini 😂 😂Ah sio kweli mkuu, Ndo kwanza hapa naandika comment hii huku bao likiwa mkononi