min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Na mpango wa kustaafu shindiiTwende kwa mashirima.
Na mpango wa kustaafu shindiiTwende kwa mashirima.
Huu mpango kila mwaka huwa unao🤣Na mpango wa kustaafu shindii
Hahaha nimeutekeleza kimya kimya shindii, tatizo nishaongea tena😅Huu mpango kila mwaka huwa unao🤣
Aaaah we usinitanie. Mashirii ataishije?Hahaha nimeutekeleza kimya kimya shindii, tatizo nishaongea tena😅
Hahaha Figo zangu sio mtaji wake shindiiAaaah we usinitanie. Mashirii ataishije?
Ndio mtaji wake sasa! We unataka akale wapi?Hahaha Figo zangu sio mtaji wake shindii
Shindii haunipendi wewe😃😃Ndio mtaji wake sasa! We unataka akale wapi?
Kwanini umfanyie hivyo mashirimaa?Shindii haunipendi wewe😃😃
Mashirima michepuko ni mingi atakuja kunipa yutiai bora niache zile pombe zake za bure tu🥲Kwanini umfanyie hivyo mashirimaa?
Kizuri unakula na nduguzo😃Mashirima michepuko ni mingi atakuja kunipa yutiai bora niache zile pombe zake za bure tu🥲
Sitaki hivyo shindiiKizuri unakula na nduguzo😃