Aaaiiiiii utamu unakuja, utamu unakata - 2026 njoo tuzogoe!

Mangiii, kwani hii ni nyuzi kuhusu magonjwa?
Na hizo takwimu za 75% umezitoa wapi?
Hamna nakumbushia tu , naona serikali haitilii mkazo kuhusu UKIMWI tena .

Hizi takwimu hauwezi kupata popote zinafichwa vibaya sana , watu wanakula njugu mawe kama njiwa manga.
 
Hamna nakumbushia tu , naona serikali haitilii mkazo kuhusu UKIMWI tena.
Labda wameona mambo yenu wawaachie wenyewe πŸ˜‚
Hizi takwimu hauwezi kupata popote zinafichwa vibaya sana , watu wanakula njugu mawe kama njiwa manga.
Taarifa bila takwmu ni opinion au uzushi tu bwasheee!

Ila data rasmi zinasema wanaoongoza kwa maambukizi mapya ni vijana under 25. Mzungumze vizuri na wadogo zenu basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…