Basi sawaLabda wameona mambo yenu wawaachie wenyewe π
Taarifa bila takwmu ni opinion au uzushi tu bwasheee!
Ila data rasmi zinasema wanaoongoza kwa maambukizi mapya ni vijana under 25. Mzungumze vizuri na wadogo zenu basi!
Nilijua tu ni wewe π π
Tusipokuwahi unapotea mazima π
Kwani Binti unakaa wapiNilijua tu ni wewe π π
Sawa asanteSawa, nakutakia kila la kheri, umalize shule uoe!
Arusha mkuuKwani Binti unakaa wapi
Raha zinaweza kukunogea.
Sasa wewe mhalifu unajilinda ili iweje, baba mjengo akikukuta unasalimu amri tu π
Mmmh wamekuvunja moyo nini, mbona umekua mpole ghafla.Sawa asante
Hizo nyege zako zitafutie namna, zitakusumbua!View attachment 3537844
Acha uoga, twenzetu chimbo.
πTusipokuwahi unapotea mazima π
Unavitengeneza na AI gani?
wew si ulisema sio mwanachamaNgoja kwanza ninyetuke nitakuja kutolea ufafanuzi baadae.
Hizo nyege zako zitafutie namna, zitakusumbua!
Hamna nimeamua tuπ€£π€£π€£Mmmh wamekuvunja moyo nini, mbona umekua mpole ghafla.
Sijakuzoea hivi!
Siku mojamoja siyo mbaya mzee mbona unashindwa kusoma upepo, wangapi si wanachama wa simba lakini ni mashabiki licha ya kuchalazwa mboko kila siku.wew si ulisema sio mwanachama
Unavitengeneza na AI gani?
See you π
View attachment 3537853
Bora umejua kuwa nyege zinasumbua.
Swali serious buana, unavitengeneza na nini?