Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mpeleke ubalozini akaombe visa moja kwa moja kwa P didy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vijana wengi mmeharibika sana, ushoga ni dhambi na haitawaacha salama. mtajulikana wote. hata ujifiche vipi.Viva weekend JF
Kuna rafiki yangu jirani kabisa na napoishi na ameolewa na mume wake mtanashati swafi kabisa ambaye huwa anasema anafanya kazi kariakoo duka la simu. Na ndo huwa namuagiza yeye hata accesories zangu napohitaji
Sasa leo tukiwa tunapiga story za hapa na pale ndipo akaniambia kuna rafiki wa mme wake alimpigia asubuhi sana. Lakini kwa sababu alikuwa kwenye jumuia hakupokea na akazima simu kwa muda hadi alipotoka kwenye jumuia
Sasa ile anawasha simu yake ndipo akakutana na text toka kwa huyo rafiki wa bae yake imeandikwa "Shem mwambie mume wako aache kunilazimisha nim*%% (kumuingilia kinyume na maumbile) coz mimi ni muislam safi na sitaki madhambi hayo"
Bila hiyana bi dada akampigia huyo kaka kuthibitisha kama hajakosea namba. Cha ajabu mkaka akafunguka stori nzima na kumuachia bumbuwazi shosti wangu.
Sasa amekuja nimpe idea style gani alipeleke hilo kwa mume wake. Nami nikaona bora nije kwa great thinkers kwanza kabla sijampa ushangazi wangu.
vijana wengi mmeharibika sana, ushoga ni dhambi na haitawaacha salama. mtajulikana wote. hata ujifiche vipi.
unamaanisha nini kuhalalisha ushoga? nimekwambia ushoga ni dhambi. au wewe ni shoga umeweka hii kitu ili kuutangaza na kupata mashoga wenzio?Yesu Anakuja kuhalalisha ushoga
hii yote umechukia baada ya mimi kusema ushoga ni dhambi? kumbe hii story yako ni ya uongo ila unataka kuleta story za ushoga tu. mashoga mmejaa sana humu jf. acheni, hiyo nid hambi na mtaenda motoni hakika.WEWE YESU AKIJA HUENDI.
Huwa unatuita vivulana lakini tuna akili kuliko wewe, achana naoViva weekend JF
Kuna rafiki yangu jirani kabisa na napoishi na ameolewa na mume wake mtanashati swafi kabisa ambaye huwa anasema anafanya kazi kariakoo duka la simu. Na ndo huwa namuagiza yeye hata accesories zangu napohitaji
Sasa leo tukiwa tunapiga story za hapa na pale ndipo akaniambia kuna rafiki wa mme wake alimpigia asubuhi sana. Lakini kwa sababu alikuwa kwenye jumuia hakupokea na akazima simu kwa muda hadi alipotoka kwenye jumuia
Sasa ile anawasha simu yake ndipo akakutana na text toka kwa huyo rafiki wa bae yake imeandikwa "Shem mwambie mume wako aache kunilazimisha nim*%% (kumuingilia kinyume na maumbile) coz mimi ni muislam safi na sitaki madhambi hayo"
Bila hiyana bi dada akampigia huyo kaka kuthibitisha kama hajakosea namba. Cha ajabu mkaka akafunguka stori nzima na kumuachia bumbuwazi shosti wangu.
Sasa amekuja nimpe idea style gani alipeleke hilo kwa mume wake. Nami nikaona bora nije kwa great thinkers kwanza kabla sijampa ushangazi wangu.
Pole sana mkuu,,Viva weekend JF

Waende Kwa viongozi wa dini wakafanye Nini?Hilo ni tatizo la kudumu, mwambie ajipange tu kuachana nae kama bado hawajafunga ndoa, kama wamefunga ndoa waende kwa viongozi wao wa dini waone watafanyaje. Mtu anayeliwa kiboga ni ngumu sana kuacha hiyo michezo