Aambiwa mume wake analazimisha kuingiliwa kinyume na maumbile, afanye nini?

Sijaelewa, yaani mume wa mtu anamlazimisha mwanaume mwenzake au mwanamke?
 
Kuingiliwa kwa mwanaume, hakuna kinyume na maumbile, maana hana maumbile sahihi ya kuingiliwa.
Huyo sema analazimisha kufanyiwa vitendo vya kishoga, kwa kutumia Tafsida ila bila tafsda tunasema analazimisha ..................
 
Fuatulia kwa umakini, utapothibithisha kama n kweli njoo tukupe ushauri
 
HII CHAI HAINA UKWELI WOWOTE. UNATAKA COMMENTS NYINGI?UNGESEMA MUMEO UNGEPATA NYINGI ZAIDI.
 
Ujinga mtupu 🚮
Yaani wewe ushirikishwe halafu Tena uje kutusumbua huku?
 
Izi mada zilipunguaga anyway jicho ni tamu mno
 
Viva weekend JF

Kuna rafiki yangu jirani kabisa na napoishi na ameolewa na mume wake mtanashati swafi kabisa ambaye huwa anasema anafanya kazi kariakoo duka la simu. Na ndo huwa namuagiza yeye hata accesories zangu napohitaji

Sasa leo tukiwa tunapiga story za hapa na pale ndipo akaniambia kuna rafiki wa mme wake alimpigia asubuhi sana. Lakini kwa sababu alikuwa kwenye jumuia hakupokea na akazima simu kwa muda hadi alipotoka kwenye jumuia

Sasa ile anawasha simu yake ndipo akakutana na text toka kwa huyo rafiki wa bae yake imeandikwa "Shem mwambie mume wako aache kunilazimisha nim*%% (kumuingilia kinyume na maumbile) coz mimi ni muislam safi na sitaki madhambi hayo"

Bila hiyana bi dada akampigia huyo kaka kuthibitisha kama hajakosea namba. Cha ajabu mkaka akafunguka stori nzima na kumuachia bumbuwazi shosti wangu.

Sasa amekuja nimpe idea style gani alipeleke hilo kwa mume wake. Nami nikaona bora nije kwa great thinkers kwanza kabla sijampa ushangazi wangu.
#we mshangazi jau tu __siuseme tu kuwa niww..? 😃😃😃
 
Kama huyu shemeji yake ajampa ushahidi wa kimazungumzo kati yao au ujumbe wa maandishi basi msiamini moja kwa moja
Ao wanaume anawez akawa mkweli au akaja kulipiza kisasi kwa mume wa uyo rafik yak ,uwenda shemej yako katembea na mke wa jamaa X au walikwazan kinamn yoyote
 
Viva weekend JF

Kuna rafiki yangu jirani kabisa na napoishi na ameolewa na mume wake mtanashati swafi kabisa ambaye huwa anasema anafanya kazi kariakoo duka la simu. Na ndo huwa namuagiza yeye hata accesories zangu napohitaji

Sasa leo tukiwa tunapiga story za hapa na pale ndipo akaniambia kuna rafiki wa mme wake alimpigia asubuhi sana. Lakini kwa sababu alikuwa kwenye jumuia hakupokea na akazima simu kwa muda hadi alipotoka kwenye jumuia

Sasa ile anawasha simu yake ndipo akakutana na text toka kwa huyo rafiki wa bae yake imeandikwa "Shem mwambie mume wako aache kunilazimisha nim*%% (kumuingilia kinyume na maumbile) coz mimi ni muislam safi na sitaki madhambi hayo"

Bila hiyana bi dada akampigia huyo kaka kuthibitisha kama hajakosea namba. Cha ajabu mkaka akafunguka stori nzima na kumuachia bumbuwazi shosti wangu.

Sasa amekuja nimpe idea style gani alipeleke hilo kwa mume wake. Nami nikaona bora nije kwa great thinkers kwanza kabla sijampa ushangazi wangu.
Aisee.
 
Back
Top Bottom