Aambiwa mume wake analazimisha kuingiliwa kinyume na maumbile, afanye nini?

Aambiwa mume wake analazimisha kuingiliwa kinyume na maumbile, afanye nini?

Viva weekend JF

Kuna rafiki yangu jirani kabisa na napoishi na ameolewa na mume wake mtanashati swafi kabisa ambaye huwa anasema anafanya kazi kariakoo duka la simu. Na ndo huwa namuagiza yeye hata accesories zangu napohitaji

Sasa leo tukiwa tunapiga story za hapa na pale ndipo akaniambia kuna rafiki wa mme wake alimpigia asubuhi sana. Lakini kwa sababu alikuwa kwenye jumuia hakupokea na akazima simu kwa muda hadi alipotoka kwenye jumuia

Sasa ile anawasha simu yake ndipo akakutana na text toka kwa huyo rafiki wa bae yake imeandikwa "Shem mwambie mume wako aache kunilazimisha nim*%% (kumuingilia kinyume na maumbile) coz mimi ni muislam safi na sitaki madhambi hayo"

Bila hiyana bi dada akampigia huyo kaka kuthibitisha kama hajakosea namba. Cha ajabu mkaka akafunguka stori nzima na kumuachia bumbuwazi shosti wangu.

Sasa amekuja nimpe idea style gani alipeleke hilo kwa mume wake. Nami nikaona bora nije kwa great thinkers kwanza kabla sijampa ushangazi wangu.
Lengo lako siyo kuingiliwa bali ni UDINI.
 
Brother GENTAMYCINE Njoo huku,kuna popoma mmoja bando limekosa kazi linatunywesha chai za rangi usiku usiku bila vitafunwa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom