comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Na aliyetoa password kwa wauaji ni Makonda ndiyo maana sasa hivi amekuwa mwanamtandao halisi.JPM aliona huu n ungese akaupiga chini, kumbe n ulaji wa watu wakubwa 😂
Tukisema JPM aliuawa ni sahihi kabisa mana aliwanyoosha wengi.
Halafu kuna takataka kama Lucas Mwashambwa nayo inajiona nayo ni mwanaccmHatimaye, machozi mbubujiko yamezaa matunda.
Mtoto wa Lucas mwasha-mbwa ameteuliwa
View attachment 3528756
Ila buku saba n nyingi jamani, tuwaache wale urefu wa kamba zao 😂Halafu kuna takataka kama Lucas Mwashambwa nayo inajiona nayo ni mwanaccm
Me naona hapo hakuna shida yeyote, kama hawatavunja haki za wengine.
Ni muhimu tutumie logic na tuwe positive.
Ukiangalia hata kwenu utaona . Kama baba/ babu alikuwa mwanajeshi, ni rahisi sana watoto/mtoto kufuata nyayo.
Kwanini kwenye siasa inakuwa nongwa?
Kama mtu anafaa tumkatae kwasababu Baba ake alikuwa kiongozi?
Huyo alishakufa mwezi uliopitaLUKASI MWASHAMBA YUPO ?AU KAFA
Maji hufuata mkondo.
Hajafuata nyayo, hajafikisha umri wa kushiriki siasa, anaandaliwa mazingira ya kupachikwa kwenye mamlaka na wazazi wake.Me naona hapo hakuna shida yeyote, kama hawatavunja haki za wengine.
Ni muhimu tutumie logic na tuwe positive.
Ukiangalia hata kwenu utaona . Kama baba/ babu alikuwa mwanajeshi, ni rahisi sana watoto/mtoto kufuata nyayo.
Kwanini kwenye siasa inakuwa nongwa?
Kama mtu anafaa tumkatae kwasababu Baba ake alikuwa kiongozi?
Hakuna mwanajeshi anayeruhusiwa kupeleka watoto wake kwenye mazoezi ya kijeshi akazurure huko, hakuna daktari anayeruhusiwa kupeleka watoto wake kwenye wodi za wagonjwa akahudumie wagonjwa.Me naona hapo hakuna shida yeyote, kama hawatavunja haki za wengine.