Alibakwa mtungo siku ya mkesha wa mwaka mpya walimuumiza sana hadi wakamtoa bawasiri.LUKASI MWASHAMBA YUPO ?AU KAFA
Kubababake angedondosha mavi Dar mpaka kwao Mbeya angekuwa ni mwanae.Hatimaye, machozi mbubujiko yamezaa matunda.
Mtoto wa Lucas mwasha-mbwa ameteuliwa
View attachment 3528756
Ngoja aendelee kulamba buku saba saba za foleni mana n mpaka ukaonyeshe idadi ya post alizoandika kwa katibu kata wa ccm 😂Kubababake angedondosha mavi Dar mpaka kwao Mbeya angekuwa ni mwanae.
hahah! Uyo atakuwa chawa pro wa raisi ajaye baada kutoka samia.Unamaanisha miaka ijayo mtoto wa Lucas Mwashambwa atakuwa humu akimimina nyuzi akimsifia Rais Aasad?
Kwa hii ya wazazi wao kuingia madarakani kwa kupora chaguzi hadi kufanya mauaji ndio utegemee watende haki?! Maana kama ni kutenda haki wanaiga kwa hao wazazi wao, je wazazi wao sasa wanatenda haki?Me naona hapo hakuna shida yeyote, kama hawatavunja haki za wengine.
Ni muhimu tutumie logic na tuwe positive.
Ukiangalia hata kwenu utaona . Kama baba/ babu alikuwa mwanajeshi, ni rahisi sana watoto/mtoto kufuata nyayo.
Kwanini kwenye siasa inakuwa nongwa?
Kama mtu anafaa tumkatae kwasababu Baba ake alikuwa kiongozi?
Utawala wa koo.Hatimaye, machozi mbubujiko yamezaa matunda.
Mtoto wa Lucas mwasha-mbwa ameteuliwa
View attachment 3528756
Kuna wa Ditopile, kuna wa Mkapa, huyu Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Kombo.Utawala wa koo.
Amani Karume
Hussein Mwinyi
Ridhiwan Kikwete
Jessica Magufuli
Makongoro Nyerere
Wanu Hafidh
Mohamed Mchengerwa
Emmanuel Nchimbi
Nape Nnauye
January Makamba
Fred Lowassa
Namelok Sokoine
Joseph Sokoine
zainab Kawawa
Vita Kawawa
ONGEZA MWINGINE
Alitumia babu mpaka MJUKUU
View attachment 3528752
Halafu wewe upo zako huko maporini unajiita mwana ccm, au upo zako jf hapa unafanya chawaring unajikuta kijani damu!,
CCM INAWENYEWE .
Nawenyewe ndio sisi 😎
Ila Lunyamila mtoto wake wa kike anacheza mpiraKwa hiyo hii ya mtoto wa Nyoka ni nyoka inaapply tu kwa wanasiasa wa Tanzania. Mbona hatuwaoni watoto wa akina Kibadeni, Sunday Manara, Tenga, Mambosasa Zamoyoni Mogella, Runyamila wakirithi kazi za wazazi wao?
Ila Lunyamila mtoto wake wa kike anacheza mpira
Huyo ni mshika tishu za walizo chambia wakubwa.Hatimaye, machozi mbubujiko yamezaa matunda.
Mtoto wa Lucas mwasha-mbwa ameteuliwa
View attachment 3528756
Anthony MavundeUtawala wa koo.
Amani Karume
Hussein Mwinyi
Ridhiwan Kikwete
Jessica Magufuli
Makongoro Nyerere
Wanu Hafidh
Mohamed Mchengerwa
Emmanuel Nchimbi
Nape Nnauye
January Makamba
Fred Lowassa
Namelok Sokoine
Joseph Sokoine
zainab Kawawa
Vita Kawawa
ONGEZA MWINGINE