Aasad Mwinyi ateuliwa Mjumbe wa Kamati ya uendeshaji ya Chipukizi Dar es Salaam

Mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi ni sawa. Maji hufuata mkondo. Wengi wenu mnalalamika ila kwenye shughuli za kisiasa hamshiriki kiasi kwamba wengine wamefikia hatua ya kukataa kupiga kura halafu mnalalamika watoto wa wanasiasa wakiwa wanasiasa. Huko CHADEMA dada wa Lissu alikuwa mbunge viti maalum.. ni kawaida ili mradi awe na sifa na kufuata sheria.
 
Ni kweli kabisa, naamini hata mtoto wako atakua kitengo pale kijani, au ndio sifa wanazo wao tu
 
Wanaongiza watoto kwenye siasa, sheta kapiga uchawa hadi yeye na mwanae wameingia kwenye mfumo
Ashajihakikishia maisha mazuri yeye pamoja na watoto ambao hawajazaliwa, kashapata kamrija kake ka kula mema ya nchi yeye na wajao
 
Mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi ni sawa. Maji hufuata mkondo. Wengi wenu mnalalamika ila kwenye shughuli za kisiasa hamshiriki kiasi kwamba wengine wamefikia hatua ya kukataa kupiga kura halafu mnalalamika watoto wa wanasiasa wakiwa wanasiasa. Huko CHADEMA dada wa Lissu alikuwa mbunge viti maalum.. ni kawaida ili mradi awe na sifa na kufuata sheria.
Achana na mambo hayo ya mambo ya sifa na sheria, pambana nawewe upate kamrija kako huo ndio ujanja, usiishie tuu kuwakingia kifua wanaokula halafu wewe ukawa njaa, matusi unayotukanwa hapa jf na watu wanavyokudharau visiende bure, nawewe fosi mazingira ujipatie kamrija kako ka pesa huko kijani, hata boss wako alisema kila mbuzi atakula kwa usawa wa kamba yake..

Kama hii kazi unaifanya bila kukunja hata M3 kwa mwezi achana nayo.

KUMBUKA BROO UPO 40+ KAMA NI MECHI HAPO IPO DAKIKA YA 80
 
Achana na mambo hayo ya mambo ya sifa na sheria, pambana nawewe upate kamrija kako huo ndio ujanja, usiishie tuu kuwakingia kifua wanaokula halafu wewe ukawa njaa, matusi unayotukanwa hapa jf na watu wanavyokudharau visiende bure, nawewe fosi mazingira ujipatie kamrija kako ka pesa huko kijani, hata boss wako alisema kila mbuzi atakula kwa usawa wa kamba yake..

Kama hii kazi unaifanya bila kukunja hata M3 kwa mwezi achana nayo.
Mkuu siasa sio wito wangu maishani. Ningekuwa nataka nipate maisha kupitia siasa ningeshafanya hivyo kitambo. Baba yangu mzazi ni mwanaCCM tangu akiwa Ilboru Sec School 1975 - 1978. Nina ndugu kadhaa wenye nyadhifa kubwa ndani ya CCM na serikali. Nipo comfortable kwenye shughuli zangu ninazofanya kujipatia kipato. Kila ninachopost hapa ni mahaba yangu tu kwa CCM and also doing for fun.
 
Hayo sio mahaba bali ni UJINGA, kama baba yako hajatoa mtoto hata mmoja nae akae kwenye mfumo atakua MZEMBE SANAA, au nyie ndio hamna sifa? WEWE NI KIPOFU, kwasababu umekuzwa na hela za ccm hauwezi kuona baya, CCM kwako ndio kama mungu wako hapa duniani endelea kuipigania, ila kuipigania bila nawewe kua na mrija wako wa kula mpaka kufa huo ni uzembe
 
Alitumia babu mpaka MJUKUU
View attachment 3528752

Halafu wewe upo zako huko maporini unajiita mwana ccm, au upo zako jf hapa unafanya chawaring unajikuta kijani damu!,

CCM INAWENYEWE .

Nawenyewe ndio sisi 😎
Halafu unakuta jitu kumanyoko kama li Lucas Mwashambwa eti kutwa Kuchwa liko hapa jukwaani kutetea ujinga!
 
In
Magine. One of the waste we had ndiye yuko busy kumanufucture viongozi. Hivi akipewa Urais huyu bwana itakuwaje?
Rushwa na ubadhilifu wa mali za umma chimbuko lake lilikuwa utawala wa Mwinyi.

Vizazi vya Mwinyi na Kikwete vitatawala sana Tanzania labda kama kutakuwa na mabadiliko makubwa ya mfumo wa kisiasa wa nchi.
 
Back
Top Bottom