MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mimi sio maskini anayewaza kupata chochote kitu tumboni ili mradi siku iishe. Mimi ninachagua nile nini leo. Nimesema hivyo nikimaanisha niko na furaha kufanya ninachofanya bila kuwa mwanasiasa. Ni ngumu kufanya kitu ambacho sio wito wako.Hayo sio mahaba bali ni UJINGA, kama baba yako hajatoa mtoto hata mmoja nae akae kwenye mfumo atakua MZEMBE SANAA, au nyie ndio hamna sifa? WEWE NI KIPOFU, kwasababu umekuzwa na hela za ccm hauwezi kuona baya, CCM kwako ndio kama mungu wako hapa duniani endelea kuipigania, ila kuipigania bila nawewe kua na mrija wako wa kula mpaka kufa huo ni uzembe