Abadani afrika itaendelea kuwa mtumwa na masikini mpaka kiama

Abadani afrika itaendelea kuwa mtumwa na masikini mpaka kiama

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Kwenu wana jamvi leo nimekalia jamvi siti ya mbele kuongelea msiba mkubwa wa nchi za kiafrika kurudi nyuma karne moja iliyokwishapita,si aghalabu ila naona imekifu sasa licha kuanza kwa harakati za kujikumboa kwa mtu mweusi kipindi cha utumwa ambapo ilitumika nguvu nyingi kupinga biashara ya utumwa lakini bado biashara imeendelea kwa mikataba ya utumwa zaidi.

Sitaongelea nchi za kiarabu na ufanyajikazi holela kwa dada zetu kwa kunyanyaswa na kutumikishwa kingono ila nitapenda kuzungumzia yanayotea nchini Israel ambapo kuna mikataba ya viongozi wa kiafrika wanaingia na viongozi Israel kwenda kutumikishwa kwa mkataba kama vibarua huku kuna masharti ya kimkataba ambayo yanawanyima uhuru watumwa wa kiafrika lakini bado jambo hili limefumbiwa macho kwa kuwa mtendaji ni Israel,huku viongozi wa kiafrika wakibariki utumwa huu.


Tanahitajika kuanza upya kupigania haki zetu watu weusi la sivyo hatutakuwa tofauti na maiti inayotembea.
 
Back
Top Bottom