Abarikiwe anayeibariki Israel alaaniwe anayeilaani Israel

Kama Kuna ulevi mbaya duniani basi ni dini zetu,yaani Mungu wetu anawapenda wasio mpenda Wala kumtambua, wanao kataa uwepo wake, Amani na salama wapendwa. Sisi katika ukatoliki Kila anayemwamini kristo kuwa mwokozi wake na kumfuata tayali ni mteule, Mungu wetu hana ubaguzi hana taifa
 

Huo ni ujinga, inamaana wachina wajapani wakorea, wahindu wao laana haiwagusi ila waafrika tu
 
😄 Kweli nyie vichaa hapo anambiwa Nabii Yakobo nitambariki atakaye kubariki na nitamlani atakaye kulani?

Haya tuonyeshe wakati Paulo alitunga hio bibilia wapi kulikuwa na nchi inaitwa Israel?

Mimi naona nyie ndio mtalaniwa kwa kubadili jina la Mtume kuwa nchi, na nchi yenyewe imezungukwa na lana za kila aina kuanzia ushoga mpaka uwaji 😄
 
Inakuwaje Mungu anateuwa Taifa la MASHOGA na kuliita Taifa teule...?

Kama kweli Israel ni Taifa Teule la Mungu, Bila shaka huyo Mungu anawapenda Mashoga na yeye atakuwa Shoga.

Na yeyote anaye amini Israel ni Taifa teule, basi na yeye ni SHOGA.
 
Mungu aliubariki uzao wa Ismael ambaye ni baba wa waarabu, hapa tunachoongelea ni kuilaani Israel. Unaweza kua mwarabu na usiilaani Israel, kuna ambao sio waarabu kama hawa wa humu jf kilasiku kuilaani Israel, hawa lazima walaanike tuu.
Unamaanisha...atakaye mlaani SHOGA na yeye atalaanika..?
 
Hayo maandiko yako wapi? Tusidanganyane hapa kwa cheap propaganda.
 
Some comments zangu uzielewe, Mungu ameshasema atakayeilaani Israel nayeye atalaaniwa, hiyo habari ya ushoga Mungu atawahukumu hao mashoga kulingana na neno lake.
Weka andiko hapa linalosema hivyo.
 
Mungu huwa hashindwi wameanza kuuana wenyewe kwa wenyewe huko
 

Attachments

  • Screenshot_20231215-213008_Instagram.jpg
    82.6 KB · Views: 1
Mungu mwenyewe kasha walaani kwa tabia zao za kishoga
 
Usiwe kichaa amka.hao jamaa hawawapendi wakristo na wanaabudu shetani na sio taifa la Mungu tena.usiwe mjinga amka.hawa jamaa ni wauaji,wabakaji hawana utu na ushahidi upo.ndo maana mnaangamia kwa kukosa maarifa.mtu mwenye akili hawezi kuwashangilia hawa jamaa.wewe ni mkristo usiye na akili.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…