Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Andiko halijasema uzao, bali limemsema IbrahimSasa Israel ndio uzao wa Ibrahimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andiko halijasema uzao, bali limemsema IbrahimSasa Israel ndio uzao wa Ibrahimu
Ipo hivi kaka yangu, Mungu aliyeziumba mbingu na dunia amesema kua atakayeilaani Israel atalaaniwa, kama huamini sasa anza kumonitor maisha yako, uchumi wako, mwenendo wa familia yako na ukoo wako, utaanza kunote laana inaanza kutembea katika nyumba yako. Najua ukipata majibu na kuona umeanza kulaanika hutarudi humu kusema chochote, ila believe me kwa kuilaani kwao Israel humu, mafuriko ya laana yataanza kuaznia sasa. Nakuhurumia sana ila hakuna namna. Hata mimi wakati mwingine nawaonea huruma wale watoto wa Gaza ila neno limeshipigiwa mstari, watoto wa Gaza wanahukumiwa kwasababu ya laana ya wazazi wao wanaoilaani srael, kaka yangu achana na kuilaani Israel, utalaanika vibaya sana.
😄 Kweli nyie vichaa hapo anambiwa Nabii Yakobo nitambariki atakaye kubariki na nitamlani atakaye kulani?Biblia nzuri sana ina kila kitu
soma mandiko utaona sehemu alaaniwe anaeilaani israel
abarikiwe anaeibariki israel
kuwa makini na post za israel jf usishangae unachaondika ndicho kinachokufwata
ama baraka ama laana
sikutishi nakukumbusha
sty blsd Israel
Unamaanisha...atakaye mlaani SHOGA na yeye atalaanika..?Mungu aliubariki uzao wa Ismael ambaye ni baba wa waarabu, hapa tunachoongelea ni kuilaani Israel. Unaweza kua mwarabu na usiilaani Israel, kuna ambao sio waarabu kama hawa wa humu jf kilasiku kuilaani Israel, hawa lazima walaanike tuu.
Hayo maandiko yako wapi? Tusidanganyane hapa kwa cheap propaganda.Biblia nzuri sana ina kila kitu
soma mandiko utaona sehemu alaaniwe anaeilaani israel
abarikiwe anaeibariki israel
kuwa makini na post za israel jf usishangae unachaondika ndicho kinachokufwata
ama baraka ama laana
sikutishi nakukumbusha
sty blsd Israel
Weka andiko hapa linalosema hivyo.Some comments zangu uzielewe, Mungu ameshasema atakayeilaani Israel nayeye atalaaniwa, hiyo habari ya ushoga Mungu atawahukumu hao mashoga kulingana na neno lake.
Mungu huwa hashindwi wameanza kuuana wenyewe kwa wenyewe hukoBiblia nzuri sana ina kila kitu
soma mandiko utaona sehemu alaaniwe anaeilaani israel
abarikiwe anaeibariki israel
kuwa makini na post za israel jf usishangae unachaondika ndicho kinachokufwata
ama baraka ama laana
sikutishi nakukumbusha
sty blsd Israel
Mungu mwenyewe kasha walaani kwa tabia zao za kishogaBiblia nzuri sana ina kila kitu
soma mandiko utaona sehemu alaaniwe anaeilaani israel
abarikiwe anaeibariki israel
kuwa makini na post za israel jf usishangae unachaondika ndicho kinachokufwata
ama baraka ama laana
sikutishi nakukumbusha
sty blsd Israel
Usiwe kichaa amka.hao jamaa hawawapendi wakristo na wanaabudu shetani na sio taifa la Mungu tena.usiwe mjinga amka.hawa jamaa ni wauaji,wabakaji hawana utu na ushahidi upo.ndo maana mnaangamia kwa kukosa maarifa.mtu mwenye akili hawezi kuwashangilia hawa jamaa.wewe ni mkristo usiye na akili.Biblia nzuri sana ina kila kitu
soma mandiko utaona sehemu alaaniwe anaeilaani israel
abarikiwe anaeibariki israel
kuwa makini na post za israel jf usishangae unachaondika ndicho kinachokufwata
ama baraka ama laana
sikutishi nakukumbusha
sty blsd Israel
Stop being fool this is not Israel God is talking about.these are killers.so you are standing with killers,somoders.how fool you are.6 Utakieni Yerusalemu amani; Na wafanikiwe wakupendao;
Zaburi 122:6
I stand with Israel
Usiwe mjinga amkeni.Amina kubwa, ubarikiwe wewe na nyumba yako yote