ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Benny Andersson, 75, Agnetha Fältskog, 72, Anni-Frid Lyngstad, 76, and Björn Ulvaeus, 77, pulled out all the stops as they posed on the red carpet at the glitzy launch event, where they prepared to watch their digital avatars take to the stage.

Pictured in 1974

Nimeangalia documentary moja kuhusu ABBA, inaelekea mapenzi ndio ilikuwa chanzo cha kusambaratika kwa kundi baada ya wawili kati yao kuzama kwenye penzi baadae kuachana. Inasikitisha kwamba wakati kundi linavunjika, bado walikuwa juu na mashabiki zao kila pembe ya Dunia wanawasubiri. Mapenzi na kazi sometimes inaweza kuwa disaster.
 
Kwani hao hapo si kila mtu na mkewe hapo au mimi ndo sielewagi miaka yote hiyo.?
 
Kwani hao hapo si kila mtu na mkewe hapo au mimi ndo sielewagi miaka yote hiyo.?
Ni kweli wanaume walikua watunzi wa nyimbo na wapiga gitaa na wanawake walikua waimbaji navwachezaji. Walitumia muda mwingi katika mazoezi na waliishia kuwa wapenzi. Hapo kila mtu na wake.

Kutokana na pressure ya kazi na stress mapenzi yalikufa na waliachana kwa maumivu makali. Lakini walitengeneza pesa ya heshima.
 
Kwani hao hapo si kila mtu na mkewe hapo au mimi ndo sielewagi miaka yote hiyo.?

Wote wametalikiana. Kwa mujibu wa documentary, pair ya kwanza iliishi kwenye ndoa kwa muda mrefu kabla ya divorce, lakini ya pili ilidumu kwenye ndoa miaka 3 tu. Halafu ilikuwa kama drama maana divorce zote zilikuwa moja baada ya nyingine
 
Dah hakuna kitu mbaya kama kuachana. Lakini ndo hivyo tena.
 
Walikulana mbususu🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…