ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

S.O.S
Move On
Hasta Manana
My Love My Life
Waterloo
Cassandra
Angel Eyes
On and On and On
The Piper
Voulez Vous
Ring Ring Ring ...
Mkuu uko vizuri sana. Wengi wametaja zile nyimbo zilizo wapa umaarufu. Wewe umeenda deep zaidi. Hawa jamaa walikuwa hatari sana enzi zao wakichuna Kwa karibu na BEE GEES.
Kweli kila kitabu na zama zake.
 
Nimeangalia documentary moja kuhusu ABBA, inaelekea mapenzi ndio ilikuwa chanzo cha kusambaratika kwa kundi baada ya wawili kazi yao kuzama kwenye penzi baadae kuachana. Inasikitisha kwamba wakati kundi linavunjika, bado walikuwa juu na mashabiki zao kila pembe ya Dunia wanawasubiri. Mapenzi na kazi sometimes inaweza kuwa disaster.
Mara nyingi mapenzi na kazi havipatani kabisa, ni mara chache sana watu hufanikiwa. Makundi mengi ya muziki yamesambaratika kisa mapenzi. Kuna kundi jingine kubwa sana la muziki linaitwa Fleetwood Mac nalo lilipangaranyika kisa mapenzi. Hata kibongo-bongo tu kuna lile kundi walikuwa wanajiita Pah One, lilivunjika kisa mapenzi, ghafla Nahreel na Aika wakaanzisha Navy Kenzo. Ni nadra sana mapenzi, ushikaji na undugu kwenda sambamba na kazi......
 
Knowing me, knowing you. I have a dream unaweza sikiliza siku nzima
Same here…

Knowing me, knowing you (ah-ha) There is nothing we can do
Knowing me, knowing you (ah-ha) We just have to face it, this time (This time, this time) we're through (we're through)
This time we're through, we're really through
Breaking up is never easy, I know, but I have (I have to go) to go (This time I have to go, this time I know) knowing me, knowing you
It's the best I can do
 
Back
Top Bottom