ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

Nimeangalia documentary moja kuhusu ABBA, inaelekea mapenzi ndio ilikuwa chanzo cha kusambaratika kwa kundi baada ya wawili kazi yao kuzama kwenye penzi baadae kuachana. Inasikitisha kwamba wakati kundi linavunjika, bado walikuwa juu na mashabiki zao kila pembe ya Dunia wanawasubiri. Mapenzi na kazi sometimes inaweza kuwa disaster.
Penzi kitovu Cha upofu
 
Kiboko yao walikuwa Boney M.
Hamna kitu! Kamwe huwezi kufananisha Boney M na ABBA. ABBA walikuwa wanaandika, kupiga vyombo na kuimba nyimbo zao zote. Boney M walikuwa wanafanyiwa karibu kila kitu na producer wao Mjerumani anayeitwa Frank Farian. Huyu jamaa kwa wasiomjua ndiye alikuwa pia producer wa Milli Vanilli ikaja kujulikana kwamba wale jamaa walikuwa hawaimbi wao bali wana-lip sync nyimbo walizoimba watu wengine mpaka kupelekea kuporwa tuzo ya grammy waliyoshinda. Kuna fununu kwamba hata Boney M walifanya huo mchezo ingawa hakuna ushahidi.
 
View attachment 2242945
View attachment 2242946
Benny Andersson, 75, Agnetha Fältskog, 72, Anni-Frid Lyngstad, 76, and Björn Ulvaeus, 77, pulled out all the stops as they posed on the red carpet at the glitzy launch event, where they prepared to watch their digital avatars take to the stage.

View attachment 2242947
Pictured in 1974

I wish kama wahusika wa utalii wapo humu wafanye arrangement hata kea kuwalipa wawalete ku re sing nyimbo zao Tanzania haya huu ya mlima Kilimanjaro,Serengeti na Zanzibar.Watapaya viewers wengi na kuattract watalii wengi mno.
 
Serengeti, Ngorongoro na Loliondo ni mali ya Waarabu, mpaka warithie hili litokee.
 
I traveled every country,
I travel in my mind,
It seems we are on the journey,
A trip through space and time,
And somewhere lies the answer,
To all the questions why, What really makes the difference,
Between all dead and living things,
The will to stay alive

ABBA - Move On
 
Bado na differ na wewe mkuu.

ABBA ni habari nyengine
Shida bend nyingi za zamani zimevunjika,na waliobaki kwenye game ni wachache sana hawatungi nyimbo mpya wanaimba za zamani tu...wamebaki kina dianarose,tina turner,lione richie,,steve wonder,dolly patron etc
 
Boney M lkn hawakuwa na nyimbo nyingi kama. Hawa.

Ila watu wa zamani wameimba jamanii. Sio hawa wa sasa zogoo tu.
Mkuu tafuta nyimbo za wakongwe hawa smokey robinson na Aron neville...smokey ndio alikua anamtungia nyimbo dianarose,michael jackson...hawa bado wako hai wanafanya matamasha makubwa now smokey yuko na 83yrz na aron 82yrz still wako fiti kiafya
 
Nimeangalia documentary moja kuhusu ABBA, inaelekea mapenzi ndio ilikuwa chanzo cha kusambaratika kwa kundi baada ya wawili kazi yao kuzama kwenye penzi baadae kuachana. Inasikitisha kwamba wakati kundi linavunjika, bado walikuwa juu na mashabiki zao kila pembe ya Dunia wanawasubiri. Mapenzi na kazi sometimes inaweza kuwa disaster.
Ndio maana Prof Amandina Lihamba alisema "Penzi kitovu cha uzembe" kupitia jirani cha Ngoswe.

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
ngoswe penzi kitovu cha kuharibu kazi.

the name of the game by ABBA
 
Back
Top Bottom