ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

Nilisikiaga kama mmoja WA wanaume alikuwa mchicha mwiba
 
Nilisikiaga kama mmoja WA wanaume alikuwa mchicha mwiba
 
Walikulana waka enjoy, walipoamua kuwa mke na mume tu wakaharibu kazi.
Alafu utakuta walikulana kimasikhara...sasa sii unajua tena kimasikhara inakuwa na utamu wake special....ujidanganye sasa useme niweke ndani 🤣🤣🤣🤣🤣 utasaga meno
 
Aisee!!! Bado wananufaika na kazi zao!..so nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…